Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Sio jukumu la la Tv ya Taifa kutangaza dini za watu. Tv ya Taifa ni jukwaa la wananchi wote, kupata habari na taarrifa mbalimbali za kitaifa na kimataifa kuhusu masuala kadhaa wa kadhaa mathalani sanaa na michezo, kilimo, ufugaji na uvuvi, biashara na masoko dini, mila na desturi njema za kuendelezwa n.k.Kwa nini TV ya taifa inabeba jukumu la kutangaza dini za watu. Hizo taasisi husika hazina majukwaa ya kufanya hayo mambo yao ?
Kuhusu Tv ya Taifa kubeba jukumu la kutangaza dini si kweli.
Wahusika wenye dini zao ndio wanajukumu hilo. Tv ni platform tu ya kuwafikia watu wengi zaidi kwa pamoja na kuwafikishia ujumbe mahususi kwa muda mfupi...