TBC ni TV ya waislam na wakristo wakatoliki?

TBC ni TV ya waislam na wakristo wakatoliki?

"Serikali yetu haina dini ila watu wake ndiyo wana dini zao"
Hayati Mwl. J. K. Nyerere
 
"Serikali yetu haina dini ila watu wake ndiyo wana dini zao"
Hayati Mwl. J. K. Nyerere
Sio wananchi wote.ndio maana suala la sensa za kidini huyo huyo Nyerere alikataa
 
Wewe akili huna mchungaji gani kanituma unafikiri kila mtu humu ni mpumbavu kama wewe ?!.
Unajibiwa kufuatana na hoja yako uliyoiweka mezani,kama ni ya kipumbavu unajibiwa kipumbavu na kama ni ya kujenga unajibiwa ili kuiboresha.
 
Wewe akili huna mchungaji gani kanituma unafikiri kila mtu humu ni mpumbavu kama wewe ?!.
Nenda kwa Mchungaji aliekutuma kamwambie ajenda yake imefeli TBC haiwezi ikarusha masomo yake yanayotangazwa eti anaanzisha kikundi cha ibada na familia yake mnaita Kanisa
 
Nenda kwa Mchungaji aliekutuma kamwambie ajenda yake imefeli TBC haiwezi ikarusha masomo yake yanayotangazwa eti anaanzisha kikundi cha ibada na familia yake mnaita Kanisa
Wewe ni mpumbavu. Kwaheri
 
Binafsi kuna jambo sielewi kuhusu hii television ya umma/taifa- TBC

Hii ni television ya kutangaza dini ya Uislam na Ukristo kupitia ukatoliki au ni television ya umma isiyo na mafungano na dini yoyote ?

Nashindwa kuelewa kwamba hawa waislam na wakatoliki wamelipa pesa ili dini zao zitangazwe kupitia television ya umma au ni tabia ya kijinga tu ya uongozi wa TBC na serikali kulifungamanisha hili taifa na hizi dini mbili Uislam na Ukristo ?

Binafsi naomba kupewa muongozo ni nini kipo nyuma kwa TBC kwa utaratibu huu wa miaka nenda rudi kwa television ya umma kutangaza dini hizi mbili Uislam na Ukristo huku ikitambuliwa kama television ya umma wote ?

Na hawa waislam na wakristo kwani wao wenyewe hawana television zao binafsi za kurusha maudhui yao huko na sio kwenye television ya umma ?
Hamia Burundi ambako hakuna TBC.
 
Kwani zengine waamini wake hawatoi hela ?

Tuachane na hilo turudi kwenye uzi.
Mahubiri ya walokole ni zaidi ya masaa mawili hapo bado kusifu na kuabudu
Watarushaje taarifa za habari,kilimo,vipindi vya mama saa100,michezo nk?
Mahubiri ya wakatoliki na waislam ni short na clear Cha msingi wamezingatia dini zote mbili
 
Wananchi waliosimika hii siyo akina Gwajima,Mwamposa na makanisa yao ya kihuni huni bali ni watu ambao utawala wa dini zao ulisimikwa na Mungu mwenyewe.
Wananchi wote ndio wanaoifanya hiyo TBC kuendelea kuwepo sifikiri kama unafahamu hili kwa jinsi ulivyo mpumbavu
 
Mahubiri ya walokole ni zaidi ya masaa mawili hapo bado kusifu na kuabudu
Watarushaje taarifa za habari,kilimo,vipindi vya mama saa100,michezo nk?
Mahubiri ya wakatoliki na waislam ni short na clear Cha msingi wamezingatia dini zote mbili
Hiyo sio kazi ya serikali kupima urefu wa mahubiri na sio jukumu lake kutangaza dini ya mtu yoyote yule. Kile wafanyacho TBC ni upumbavu
 
Back
Top Bottom