TBC ni TV ya waislam na wakristo wakatoliki?

TBC ni TV ya waislam na wakristo wakatoliki?

Sitaki dini yoyote ile hiyo sio kazi ya television ya taifa kutangaza dini za watu ziachiwe taasisi husika
Basi acha wao wafanye wanavyoona inafaa wanaoangalia TBC sio wapagani wasio na dini na Majority ni Waislamu na Wakatoliki ndio maana vipindi vyao vinarushwa kila siku za ibada zao Ijumaa na Jumapili,
 
Ndio maana imeitwa Televisheni ya Taifa, inatangaza pande zote mbili, ikikuboa angalia televisheni zingine, serikali haina dini, wangekuwa wanatangaza dini moja ingekuwaje?
Kwamba taifa hili lina pande mbili za Uislam na Ukristo ?
 
Basi acha wao wafanye wanavyoona inafaa wanaoangalia TBC sio wapagani wasio na dini na Majority ni Waislamu na Wakatoliki ndio maana vipindi vyao vinarushwa kila siku za ibada zao Ijumaa na Jumapili,
Hiyo sio kazi ya serikali taasisi husika zikatangaze huko kwenye Tv zao na redio zao sio kwenye television ya Taifa
 
Umeongea jambo la maana sana. TBC wana madhehebu yao mawili ktk dini mbili. 1. Waislamu (). 2. Wakristo (Roman Catholic). JAMBO HILI SIYO SAWA.
Changamoto kweli mambo ya kuingiza dini kwenye Tv ya taifa hayana maana hapo serikali inabeba jukumu la kutangaza dini kinyume na katiba ya jamhuri ya muungano
 
Huu ni utaratibu wa kijinga wanaishi kwa kodi za wananchi mpaka wasio na dini ila wanaleta upuuzi wa kututangazia mambo ya waislam na wakristo kama vile taifa zima ni la waislam na wakristo pumbavu

Wanakela sasa,sisi wa kwenye vilinge nasi tunataka kipindi chetu tbs efuemu
 
Umerogwa? Acha kua mjinga Serekali haina dini Ila inaongoza Wananchi wenye madhehebu tofauti, una akili wewe?
Kuongoza wananchi baadhi wenye dini haijipi jukumu la kutangaza dini kinyume na matakwa ya katiba.pumbavu
 
Uislam na Wakatoliki ni Dini Dola, wanapenda kutawala! Mtawala anapenda aonekane na asikilizwe Kila wakati!
 
Wanakela sasa,sisi wa kwenye vilinge nasi tunataka kipindi chetu tbs efuemu
Shida tupu TV ya taifa itageuka uwanja wa mapambano ya kidini toka asubuhi mpaka usiku toka Jumatatu mpaka Jumapili. Sijui uongozi wa TBC akili hawana kufikiri haya
 
Kuongoza wananchi baadhi wenye dini haijipi jukumu la kutangaza dini kinyume na matakwa ya katiba.pumbavu
Kupambu Mchungaji wako alikutuma kamwambie TBC sio ya Kanisa lake uchwara lililoanzishwa na familia
 
Back
Top Bottom