DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
hapana mkuu huwa naona Dini zote wanaonyeshwa..Binafsi kuna jambo sielewi kuhusu hii television ya umma/taifa- TBC
Hii ni television ya kutangaza dini ya Uislam na Ukristo kupitia ukatoliki au ni television ya umma isiyo na mafungano na dini yoyote ?
Nashindwa kuelewa kwamba hawa waislam na wakatoliki wamelipa pesa ili dini zao zitangazwe kupitia television ya umma au ni tabia ya kijinga tu ya uongozi wa TBC na serikali kulifungamanisha hili taifa na hizi dini mbili Uislam na Ukristo ?
Binafsi naomba kupewa muongozo ni nini kipo nyuma kwa TBC kwa utaratibu huu wa miaka nenda rudi kwa television ya umma kutangaza dini hizi mbili Uislam na Ukristo huku ikitambuliwa kama television ya umma wote ?
Na hawa waislam na wakristo kwani wao wenyewe hawana television zao binafsi za kurusha maudhui yao huko na sio kwenye television ya umma ?
Ni.ewahi kushuhudia wakionesha Wasbabto,Walutheri (KKKT), Anglikana, Morovian,Roman catholic na Madhehebu wengine...
Mayb kama wewe ni mlokole sijawahi kuona wakionyesha kwa sababu sidhani kama wataweza kuonyesha kelele