TBC: Rais Samia afanya mahojiano na Dkt. Ayub Ryoba kuangazia mwaka mmoja wa awamu ya 6 madarakani

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Rais Samia kaeleza mengi lakini yaliyonikosha ni Ile serikali kurudisha Imani na ushirikiano kwa sekta binafsi wawekezaji

Yupo tayari kuingia ubia kwenye miradi na taasisi za serikali Kama bandari yenye tija itakayoleta ufanisi wa taasisi hizo

Hili litakuza Sana uchumi wetu Kama tukiwa makini na kuepuka wawekezaji wababaishaji

Mambo ya serikali kuhodhi Kila kitu ulikuwa inatupeleka kwenye ineficiency na kukopa mikopo sana

Pia hapendi kutumia vitisho kulinda amani Bali mazungumzo na maridhiano, kwa maana vitisho haviwapi watu amani ya kweli

Hapa kikowa na uwazi, compromise na kuaminiana, Tanzania itakuwa nchi ya amani na furaha

Samia anaonekana Hana majivuno kwani ameweza kutenga muda wake mwingi kuhojiwa na chombo Cha habari na anajibu kwa ufafanuzi mkubwa
 
Nadhani suala la msingi kabisa..ni katiba mpya itakayotupatia uchaguzi huru na wahaki..na usimamizi mkali wa sheria zetu.

Hapo ndio tutaweza kumove mbele hapa tulipo tumestuck.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nimetazama haya Mahojiano

Samia Suluhu Hassan anafanana na Jakaya kweny General basic knowledge

Kazungumza kwny Kilimo cha biashara kwa mifano hai na hatua kwa hatua ya maboresho, kazungumzia Masuala ya kisiasa na maeneo mengine mengi ikiwemo ya kibiashara

Anajua kuzungumza kwa ufasaha na kwa utaratibu na kwa lugha rahisi kueleweka

Mungu amjaalie ayafanyie makubwa Nchi yetu
 
Rais Samia kaeleza mengi lakini yaliyonikosha ni Ile serikali kurudisha Imani na ushirikiano kwa sekta binafsi wawekezaji

Yupo tayari kuingia ubia kwenye miradi na taasisi za serikali Kama bandari yenye tija itakayoleta ufanisi wa taasisi hizo

Hili litakuza Sana uchumi wetu Kama tukiwa makini na kuepuka wawekezaji wababaishaji

Mambo ya serikali kuhodhi Kila kitu ulikuwa inatupeleka kwenye ineficiency na kukopa mikopo sana

Pia hapendi kutumia vitisho kulinda amani Bali mazungumzo na maridhiano, kwa maana vitisho haviwapi watu amani ya kweli

Hapa kikowa na uwazi, compromise na kuaminiana, Tanzania itakuwa nchi ya amani na furaha

Samia anaonekana Hana majivuno kwani ameweza kutenga muda wake mwingi kuhojiwa na chombo Cha habari na anajibu kwa ufafanuzi mkubwa
Naunga mkono hoja.
P
 
Chawa wa mama
 
Hakuna Umeme watu wanashindwa kuangalia

Huenda kwanza tunge-deal na basics kama umeme wa uhakika kabla ya hayo mengine makubwa makubwa (itakuwa hivi na itakuwa vile) wakati tupo gizani
 
Mama Ajiepushe na MAHAFIDHINA Wa Ccm ndio WANATUHARIBIA VIONGOZI ndio hao hao Waliotuharibia Mchakato wa Kupata KATIBA MPYA
 
Nimetazama haya Mahojiano

Samia Suluhu Hassan anafanana na Jakaya kweny General basic knowledge

Kazungumza kwny Kilimo cha biashara lwa mifano hai na hatua kwa hatua ya maboresho, kazungumzia Masuala ya kisiasa na maeneo mengine mengi ikiwemo ya kibiashara

Anajua kuzungumza kwa ufasaha na kwa utaratibu na kwa lugha rahisi kueleweka

Mungu amjaalie ayafanyie makubwa Nchi yetu
Samia Yuko poa Sana, sema watanzania wengi inaonekana hawafuatilii hotuba zake Kama kwa Magufuli, sababu hazina drama nyingi za kufoka foka, na kujidai kujipiga kifua
 
Hakuna Umeme watu wanashindwa kuangalia

Huenda kwanza tunge-deal na basics kama umeme wa uhakika kabla ya hayo mengine makubwa makubwa (itakuwa hivi na itakuwa vile) wakati tupo gizani
Wapi huko hakuna umeme? Mimi wiki ya 5 Sasa umeme haujakatika
 
Upo Ikulu nini ?

Kama unadhani hakuna matatizo ya Umeme Tanzania basi huenda haufanyi upembuzi yakinifu hivyo kupelekea kutokuwa critical kwa serikali...

Tunapaswa kutafuta mapungufu na kuyasema ili yarekebishwe kuliko hata kujisifia na kujipongeza kwamba yote ni heri..., Tutajipongeza tukishafika au tukishamaliza muda wetu ila sio tukiwa safarini...
 
I'll police ndio wapumbafubsan wanawaibia watu na kushirikiaana na waalifu hili liko wasi
 
Back
Top Bottom