Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Rais Samia kaeleza mengi lakini yaliyonikosha ni Ile serikali kurudisha Imani na ushirikiano kwa sekta binafsi wawekezaji
Yupo tayari kuingia ubia kwenye miradi na taasisi za serikali Kama bandari yenye tija itakayoleta ufanisi wa taasisi hizo
Hili litakuza Sana uchumi wetu Kama tukiwa makini na kuepuka wawekezaji wababaishaji
Mambo ya serikali kuhodhi Kila kitu ulikuwa inatupeleka kwenye ineficiency na kukopa mikopo sana
Pia hapendi kutumia vitisho kulinda amani Bali mazungumzo na maridhiano, kwa maana vitisho haviwapi watu amani ya kweli
Hapa kikowa na uwazi, compromise na kuaminiana, Tanzania itakuwa nchi ya amani na furaha
Samia anaonekana Hana majivuno kwani ameweza kutenga muda wake mwingi kuhojiwa na chombo Cha habari na anajibu kwa ufafanuzi mkubwa