Uchaguzi 2020 TBC, sasa tumewachoka kwelikweli, mnachochea hasira kubwa msiyoweza kuizima

Uchaguzi 2020 TBC, sasa tumewachoka kwelikweli, mnachochea hasira kubwa msiyoweza kuizima

Mbona bado zinafanya vizuri mchi nyingine
Na wewe nenda huko ukafanye vizuri. Sitaki kubishana na wewe maana naifahamu biashara ya usafiri wa Anga hasa hii kipindi ya COVID ikoje.
 
Tbc inafika hatua tunachukia hadi kugombea ccm sababu ya maupuuzi yenu kujigongagonga
 
Back
Top Bottom