stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Mkuu kuna watu hawajitambui kabisa,wao wamezoea kuishi kwenye ndoto za watu.
hawa tunaeda nao polepole tu, wala hatuna haraka nao, tunajua jinsi ya kuwafinya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kuna watu hawajitambui kabisa,wao wamezoea kuishi kwenye ndoto za watu.
wale fastjet walikufa wenyewe kwani waliuliwaje?Ameua 'FAST JET' ambayo nauli yake Dar - Mwanza ilikuwa sh elfu 70, sasa kwa haya mandege yake ya kinyonyaji ni sh laki 4 !!!
Kama wanataka full coverage wakalipie. Hakuna kitu cha bureACT nao waliwafukuza mbona hawapati coverage?
Sponsa niachie mai wanguSio lazima wote tufanane kama wewe hufurahii inatosha.....mbona mnapenda kulazimisha mpendacho nyie ndo wengine pia wapende na msichokipenda basi wote wasipende
hakuna vyama vingine kwani?Kiongozi wenu si aliwafukuza TBC? Mnalalamika nini sasa?
Kwani ye kamtaja MTU? Mbona hawampi coverage Lipumbavu, Rungwe et alSasa si muangalie station nyingine kwn mmelazimishwa? Na seriuos mnataka wampe coverage mtu kajaa matusi hotuba zake zote?
They are a CCM grave diggers.Matangazo ya TBC hususani kampeni za Uchaguzi Mkuu ni utopolo mtupu uliokosa weledi na busara za kiutangazaji kama chombo cha umma kinachogharamiwa na kodi za wananchi wote.
Tumevumilia sana, sasa tumechoka. Ni ujinga, hata kama mnalazimishwa, kuitangaza CCM pekee na Wagombea wake kuanzia Asubuhi mpaka jioni kana kwamba ndiyo chama pekee.
Hili limezua hasira kuu, chuki mbaya, na kimsingi badala ya kuieneza CCM mmeiua kabisa CCM kwenye mioyo ya wananchi. Badilikeni haraka, la sivyo, mnachokitafuta, kwa ujinga wenu, mtakipata.
Baada ya uchaguzi mabosi wa MBC walifurushwa, kosa lao ni kuwanyima muda wa matangazo ya kampeni wapinzani hivyo wakaondoka na kipenzi chao.Ilikuwaje mkuu am curious to know
issue sio kuangalia station zingine issue ni matumizi mabaya ya kodi zetu.Sasa si muangalie station nyingine kwn mmelazimishwa? Na seriuos mnataka wampe coverage mtu kajaa matusi hotuba zake zote?
Kwa jinsi mgombea wa CDM alivyo na anavyoongea vitu live and direct ni lazima utasema anaongea matusi maana anaongea ukweli mtupu yan😂😂😂😂😂Sasa si muangalie station nyingine kwn mmelazimishwa? Na seriuos mnataka wampe coverage mtu kajaa matusi hotuba zake zote?
Yaani na mbwembwe zooooooooote za kuisema vibaya TBC1 kumbe bado mnaiangalia!!!!!Matangazo ya TBC hususani kampeni za Uchaguzi Mkuu ni utopolo mtupu uliokosa weledi na busara za kiutangazaji kama chombo cha umma kinachogharamiwa na kodi za wananchi wote.
Tumevumilia sana, sasa tumechoka. Ni ujinga, hata kama mnalazimishwa, kuitangaza CCM pekee na Wagombea wake kuanzia Asubuhi mpaka jioni kana kwamba ndiyo chama pekee.
Hili limezua hasira kuu, chuki mbaya, na kimsingi badala ya kuieneza CCM mmeiua kabisa CCM kwenye mioyo ya wananchi. Badilikeni haraka, la sivyo, mnachokitafuta, kwa ujinga wenu, mtakipata.
Huwa nakereka pale ninapomtembelea bi mkubwa nyumbani alafu tukiwa sebuleni hataki channel nyingine zaidi ya TBC. Ni mfanyakazi, ameathiriwa sana na mfumo wa uongozi wa mzee huyu lakini sijui kwanini hataki kusikia habari nyingine zaidi ya za CCM tu, eti oh nyinyi vijana hamjui lolote kuhusu siasa.Matangazo ya TBC hususani kampeni za Uchaguzi Mkuu ni utopolo mtupu uliokosa weledi na busara za kiutangazaji kama chombo cha umma kinachogharamiwa na kodi za wananchi wote.
Tumevumilia sana, sasa tumechoka. Ni ujinga, hata kama mnalazimishwa, kuitangaza CCM pekee na Wagombea wake kuanzia Asubuhi mpaka jioni kana kwamba ndiyo chama pekee.
Hili limezua hasira kuu, chuki mbaya, na kimsingi badala ya kuieneza CCM mmeiua kabisa CCM kwenye mioyo ya wananchi. Badilikeni haraka, la sivyo, mnachokitafuta, kwa ujinga wenu, mtakipata.
Wewe utakuwa kula kulala/mtoto wa mamaWengine bado tunaipenda