misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
Si mnasema tbccm basi acheni iwe hivyoKwa hiyo huyo kiongozi wa chama kimoja ndiyo imekuwa adhabu kwa vyama yote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si mnasema tbccm basi acheni iwe hivyoKwa hiyo huyo kiongozi wa chama kimoja ndiyo imekuwa adhabu kwa vyama yote
Usipoyapenda wewe inatosha....kwangu haki tu CCM nayo ya wananchi kwani ni ya wabelgiji?? Hao wabelgiji waombe kwa mabwana zao wawafungulie nao stesheni yao yakutangaza matusi 24/7Unaweza ukapenda mavi, haimaanishi kwa sababu una haki ya kupenda chochote basi mavi ni mazuri kukaa nayo. Hoja ni kwamba, je TBC inayotumia kodi ya wananchi kuendeshwa inatenda haki kwa kuwapa coverage wagombea wa CCM pekee? Jibu swali la hoja ya msingi halafu endelea kupenda kukaa na mavi, kisha usitulazimishe tuone ni sawa kupenda uchafu
Tuseme tu ukweli kutotangaza wapinzani ni mkakati maalumu. Magazeti ya serikali Daylynews na Habari leo nao umeona wakiandika vyama vya upinzani? Lakini Mungu ni mkubwa habari zinanawafikia wansnchi nzima nzima sio vipande vipande. Ndio maana unaona mwitikio wao kwenye kampeni.Kiongozi wenu si aliwafukuza TBC? Leo hii mnataka ifanye coverage ya matukio yenu kwanini hasa? Na tangu lini kifo cha CCM kinakuuma wewe?
Kama TBC kuitangaza CC ndio kifo cha CCM wewe inakuumia hapo nini, Tulieni dawa iwaingie
Ujinga haujifichi, wabelgiji wametoka wapi hapa? Kila anayependa haki ni CHADEMA?Usipoyapenda wewe inatosha....kwangu haki tu CCM nayo ya wananchi kwani ni ya wabelgiji?? Hao wabelgiji waombe kwa mabwana zao wawafungulie nao stesheni yao yakutangaza matusi 24/7
NEC mbona inatumia kodi za umma?Lkn mbona yanatumia Kodi za umma wote wa Watanzania?!
Ndo idiot anakutawala wewe mwenye akili utajisaidiaje mwenyewe zaidi ya kutoa povu tu mitandaoni huku idiot akifanya vitendo vya kukuzidisha kukamua hilo povu lakoUjinga haujifichi, wabelgiji wametoka wapi hapa? Kila anayependa haki ni CHADEMA?
Kosa kubwa la wabelgiji ni kumtibia Lissu na kupona? You are such an idiot
Muda ni muamuzi mzuri, kila kitu kina majira yake, hata Uganda ilitawaliwa na juha Idi Amin, Sudan, Congo, ujerumani nk.Ndo idiot anakutawala wewe mwenye akili utajisaidiaje mwenyewe zaidi ya kutoa povu tu mitandaoni huku idiot akifanya vitendo vya kukuzidisha kukamua hilo povu lako
Ni sawa kabisa. Lakini limewakwa doa katika vazi jeupe na hivi kutovaliwa. Kuna wakati kutwa nzima ni misafara ya ccm tuu. Bora wangejiunga kipindi ambacho mheshimiwa anatoa hotuba ingetosha. Sasa hadi watu wakinengua wanaweka live. Inachosha.
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Hakukua na ma keyboard warrior huko........watu waliingia mtaani badala ya kukomaa kutoa povu tu mitandaoni......povu lako mwenyewe unataka mtu aje kukusaidia kutimiza kilicho kichwani mwako......pambana na hali yako.......mwenye akili anaeshindwa hata kuingia barabarani kurusha kakokoto kuonyesha msimamo wake anabaki tu kulialia kwenye keyboard...............Muda ni muamuzi mzuri, kila kitu kina majira yake, hata Uganda ilitawaliwa na juha Idi Amin, Sudan, Congo, ujerumani nk.
Ilifika tamati hawapo tena, ila idiot ni wewe kwa upeo wako wa kufikiri
Basi bwana imetosha nimekuelewaHakukua na ma keyboard warrior huko........watu waliingia mtaani badala ya kukomaa kutoa povu tu mitandaoni......povu lako mwenyewe unataka mtu aje kukusaidia kutimiza kilicho kichwani mwako......pambana na hali yako.......mwenye akili anaeshindwa hata kuingia barabarani kurusha kakokoto kuonyesha msimamo wake anabaki tu kulialia kwenye keyboard...............
Nafikiri ni kwasababu wanatumia Kodi za watu wa Taifa la TANZANIA.Ni aibu na fedheha Television ya Chama kuhadaa Umma kwa kujiita eti ni Television ya Taifa. CCM wametukosea adabu mno.
hahaha aingie road au sio.huyu ataishia kutweet tu hapo si kazi hata hajaamka .eti ujeruman.Hakukua na ma keyboard warrior huko........watu waliingia mtaani badala ya kukomaa kutoa povu tu mitandaoni......povu lako mwenyewe unataka mtu aje kukusaidia kutimiza kilicho kichwani mwako......pambana na hali yako.......mwenye akili anaeshindwa hata kuingia barabarani kurusha kakokoto kuonyesha msimamo wake anabaki tu kulialia kwenye keyboard...............
Mimi sio mfuatiliaji wa vipindi vya t.v. lakini ninachojua tbc wana vipindi vingi sana vinavyohusu maswala ya maendeleo ya nchi, vikielezea miradi tofauti katika sekta tofauti tofauti, changamoto na mabadiliko chanya katika jamii.
Ila sababu hivyo vyote vimefanyika chini ya serikali ya chama kilichopo madarakani wapinzani wanaona kama ni kampeni huku wakisahau wananchi wana haki ya kuhabarishwa maendeleo yao