mb on
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 1,640
- 703
Ata kama ni TV ya taifa haiwezi kukupa coverage ya saa zima bila kuwalipa ...hivo vyama unavosema hela hadi warandishe bakuli unadhani wanakuwa na sarafu za kupeleka kwenye media watangazwe? mabango tu ya Mgombea urais wenu yamewashinda mtaweza kulipia coverage kipindi ata cha nusu saa .ACT, CUF na vyama vingine nao pia waliwafurusha?
Na kabla ya tukio hili TBC iliwahi kuwapa coverage wapinzani?
Kwa nini kila anayezungumzia haki mnamuona kuwa ni CHADEMA, je mwananchi asiyekuwa na chama hawezi kusemea haki?
Yanakukera? Wewe kejeli dhidi ya wapinzani siyo mashudu ni madini?