Simba zee 33
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 1,374
- 1,564
Sitaki majibu ila wananchi wanatakiwa wajueYote uliyoandika hapo juu kama changamoto yana majibu sahihi kabisa ila shida ni kwamba wewe una majibu yako binafsi unayotaka kuyasikia
Nchi hii kuna kundi la watu wauaji kwa Jina la watu wasiojulikana na wanaua wapinzani
Hilo sio Swali Bali ni Taarifa kama vile wahasini wa ndani na nje ya nchi wamechanga zaidi ya bilioni 200 kwa ajili ya wahanga wa tetemeko la ardhi kule bukoba lakini serikali imeamua kujengea uwanja wa ndege wa kimataifa kule Chato.
Haya sio maswali wala changamoto ila ni Taarifa za uvundo wa serikali
Vyombo vya Habari havina haja ya kujibu ila vinatakiwa vitujuze mambo yanayoendelea