Uchaguzi 2020 TBC, sasa tumewachoka kwelikweli, mnachochea hasira kubwa msiyoweza kuizima

Uchaguzi 2020 TBC, sasa tumewachoka kwelikweli, mnachochea hasira kubwa msiyoweza kuizima

Kumbe kuna watu bado waangalia TBC? Mara ya mwisho nadhani niliangalia 2009
 
TBC itakuwa taasis ya kwanza kabisa kufanyiwa ukaguzi wa hesabu za uendeshaji wake! Lazima waje kutuonyesha wamelipwa shingapi na CCM kwa miaka hii yote 5 ya kutangaza propaganda za ccm, na kama kuna watu au taasis wametangazwa matukio yao bure, tutaanzia hapo kuwadai popote walipo, watazilipa na wakishindwa tutakamata na kutaifisha mali zao
 
Changamoto ni challenges
Tunataka tuone ufisadi uliopo kama vile kubomoa nyumba bila malipo
Hela za rambirambi za wahanga wa majanga mbalimbali
Watu wanauwawa na wasiojulikana
Kandarasi zote kupewa mume mwenza bila kutangaza zabuni huku makampuni mengine yakifilisika
Makampuni na wawekezaji wanaondoka baada ya kushindwa kufanya Kazi
Wakullma wa korosho wakopwa mazao bei chini mpaka Leo bado hawajalipwa
Wakullma wa mpunga na mahindi mazao Yao yamedoda
Hazina ya Tanzania ipo mikinoni mwa mtoto wa dadake rais
Mkaguzi wa mahesabu asema zaidi ya dola billion moja imepotelea ikulu bila kujulikana ikwapi
Rais anajimilikisha hekta 25000 na inalindwa na jeshi etc etc
Kuna uvundo mwingi Sana katika serikali hii Ndio maana kitu cha kwanza alichofanya ni kubana media
Kwa Mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu hatuwezi kusikia
BBC, VOA, DW wala Radio Japan
Why why why???
Mbona nchi zingine wanapata habari???
Yote uliyoandika hapo juu kama changamoto yana majibu sahihi kabisa ila shida ni kwamba wewe una majibu yako binafsi unayotaka kuyasikia
 
Sasa si muangalie station nyingine kwn mmelazimishwa? Na seriuos mnataka wampe coverage mtu kajaa matusi hotuba zake zote?
Kumuita mwizi kuwa mwizi, na dikteta kuwa dikteta ni matusi? Kweli wewe pumbavu, tupe mfano wa tusi moja kwa mfano?
 
Yaani kuanzia Asubuhi hadi jioni ni CCM tu. Vipindi vingi wanavyoviandaa ni lazima vihusiane na mambo ya Chama. Yaani imekuwa ni kama TV ya Chama. Chombo cha umma kilipaswa kiwe Neutral na kiwe kwa manufaa ya watu wa vyama vyote.
Shida iko wapi? CHADEMA si waliwafukuza? Waache bloggers wawafanyie kazi.
 
Walikimbia bunge la katiba mpya waliojiona wajanja
Baba kakuiteni watoto kwenye kikao mumshauri namna ya kutumia pesa zake za kustaafu, kila ukitaka kuongea, anakwambia "ngoja kwanza, hebu tumisikilize fulani kwanza". wewe utabaki kwenye hicho kikao kufanya nini?
 
Ni vizuri imetoa kilicho moyoni mwako ila nauliza hiyo airtime imelipiwa na hivyo vyama vingine ili warushwe au kigezo kodi yetu maana wenzao pamoja na kujua ipo kodi ya wananchi bado wanalipia kurushwa kwao. Pengine hivyo vyama nao wameomba kulipia wamekataliwa. Tupate majibu hayo ili tuweze kukuelewa.
 
Mkuu unatoa wapi muda wa kuangalia TV asubuhi mpaka jioni?

TBC wanalipwa na pale wako kazini na Magufuli ni bosi wao. Huwezi kupika pilao ukaacha watoto wako hawajala ukaita wa majirani
 
Kiongozi wenu si aliwafukuza tbc? Mnalalamika nini sasa?
Hatulalamiki juha wewe, aliwafukuza bila sababu ya msingi? Hata kama una ushabiki wa kipumbavu basi kuwa na hekima hata ya kuazima. Ni haki kwa chombo kinachoendeshwa kwa kodi za umma kugeuzwa kuwa kituo cha CCM?
 
Kiongozi wenu si aliwafukuza TBC? Leo hii mnataka ifanye coverage ya matukio yenu kwanini hasa? Na tangu lini kifo cha CCM kinakuuma wewe?
Kama TBC kuitangaza CC ndio kifo cha CCM wewe inakuumia hapo nini, Tulieni dawa iwaingie
 
Mimi sio mfuatiliaji wa vipindi vya t.v. lakini ninachojua tbc wana vipindi vingi sana vinavyohusu maswala ya maendeleo ya nchi, vikielezea miradi tofauti katika sekta tofauti tofauti, changamoto na mabadiliko chanya katika jamii.
Ila sababu hivyo vyote vimefanyika chini ya serikali ya chama kilichopo madarakani wapinzani wanaona kama ni kampeni huku wakisahau wananchi wana haki ya kuhabarishwa maendeleo yao
Upotoshaji na uendawazimu, kipindi cha kampeni hiki, ni haki kwa TBC kuwapa coverage wagombea wa CCM pekee? Usilete ushabiki huongei wa mambulula na misukule ya CCM
 
Kwa akili yako ya kisoda unafurahia TV ya umma kuwaonyesha madikteta na wezi wa CCM pekee?
Sio lazima wote tufanane kama wewe hufurahii inatosha.....mbona mnapenda kulazimisha mpendacho nyie ndo wengine pia wapende na msichokipenda basi wote wasipende
 
Yaani kuanzia Asubuhi hadi jioni ni CCM tu. Vipindi vingi wanavyoviandaa ni lazima vihusiane na mambo ya Chama. Yaani imekuwa ni kama TV ya Chama. Chombo cha umma kilipaswa kiwe Neutral na kiwe kwa manufaa ya watu wa vyama vyote.
Sio siri wanaboa kweli kweli, nadhani shida ni mkurugenzi kuwa kada, Rioba ndio anaiua kabisa TBC
 
Sasa ndio umetetea au umesupport hoja? Afadhali uwe mjinga ujitambue kuwa u mjinga utaufuta kwa kutafuta ufahamu, siyo wewe mpumbavu uliyepumbaa akili usiyejitambua. Maana mpumbavu hajui lakini anajiona anajiona anajua, mshamba lakini anajiona mjanja
Aliekwambia nimetetea ni nani? Mbona mmejifunza kukurupuka hivyo? Sasa Kati yangu na wewe ni Nani mpumbavu?

KWAKIFUPI: Hasira zako juu ya CCM, hazitakufanya uondokane na status ya kuwa jobless.
 
Sio lazima wote tufanane kama wewe hufurahii inatosha.....mbona mnapenda kulazimisha mpendacho nyie ndo wengine pia wapende na msichokipenda basi wote wasipende
Unaweza ukapenda mavi, haimaanishi kwa sababu una haki ya kupenda chochote basi mavi ni mazuri kukaa nayo. Hoja ni kwamba, je TBC inayotumia kodi ya wananchi kuendeshwa inatenda haki kwa kuwapa coverage wagombea wa CCM pekee? Jibu swali la hoja ya msingi halafu endelea kupenda kukaa na mavi, kisha usitulazimishe tuone ni sawa kupenda uchafu
 
Aliekwambia nimetetea ni nani? Mbona mmejifunza kukurupuka hivyo? Sasa Kati yangu na wewe ni Nani mpumbavu?

KWAKIFUPI: Hasira zako juu ya CCM, hazitakufanya uondokane na status ya kuwa jobless.
Kama hujatetea ni nini ulichofanya? Bado wewe ni MPUMBAVU kwa maana naichukia CCM kwa matendo yake dhidi ya wapinzani wake, hii inazidisha upumbavu wako kwa kuniona mimi jobless kwa kuipinga CCM
 
Back
Top Bottom