Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote uliyoandika hapo juu kama changamoto yana majibu sahihi kabisa ila shida ni kwamba wewe una majibu yako binafsi unayotaka kuyasikiaChangamoto ni challenges
Tunataka tuone ufisadi uliopo kama vile kubomoa nyumba bila malipo
Hela za rambirambi za wahanga wa majanga mbalimbali
Watu wanauwawa na wasiojulikana
Kandarasi zote kupewa mume mwenza bila kutangaza zabuni huku makampuni mengine yakifilisika
Makampuni na wawekezaji wanaondoka baada ya kushindwa kufanya Kazi
Wakullma wa korosho wakopwa mazao bei chini mpaka Leo bado hawajalipwa
Wakullma wa mpunga na mahindi mazao Yao yamedoda
Hazina ya Tanzania ipo mikinoni mwa mtoto wa dadake rais
Mkaguzi wa mahesabu asema zaidi ya dola billion moja imepotelea ikulu bila kujulikana ikwapi
Rais anajimilikisha hekta 25000 na inalindwa na jeshi etc etc
Kuna uvundo mwingi Sana katika serikali hii Ndio maana kitu cha kwanza alichofanya ni kubana media
Kwa Mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu hatuwezi kusikia
BBC, VOA, DW wala Radio Japan
Why why why???
Mbona nchi zingine wanapata habari???
Kumuita mwizi kuwa mwizi, na dikteta kuwa dikteta ni matusi? Kweli wewe pumbavu, tupe mfano wa tusi moja kwa mfano?Sasa si muangalie station nyingine kwn mmelazimishwa? Na seriuos mnataka wampe coverage mtu kajaa matusi hotuba zake zote?
Shida iko wapi? CHADEMA si waliwafukuza? Waache bloggers wawafanyie kazi.Yaani kuanzia Asubuhi hadi jioni ni CCM tu. Vipindi vingi wanavyoviandaa ni lazima vihusiane na mambo ya Chama. Yaani imekuwa ni kama TV ya Chama. Chombo cha umma kilipaswa kiwe Neutral na kiwe kwa manufaa ya watu wa vyama vyote.
Baba kakuiteni watoto kwenye kikao mumshauri namna ya kutumia pesa zake za kustaafu, kila ukitaka kuongea, anakwambia "ngoja kwanza, hebu tumisikilize fulani kwanza". wewe utabaki kwenye hicho kikao kufanya nini?Walikimbia bunge la katiba mpya waliojiona wajanja
Hatulalamiki juha wewe, aliwafukuza bila sababu ya msingi? Hata kama una ushabiki wa kipumbavu basi kuwa na hekima hata ya kuazima. Ni haki kwa chombo kinachoendeshwa kwa kodi za umma kugeuzwa kuwa kituo cha CCM?Kiongozi wenu si aliwafukuza tbc? Mnalalamika nini sasa?
Upotoshaji na uendawazimu, kipindi cha kampeni hiki, ni haki kwa TBC kuwapa coverage wagombea wa CCM pekee? Usilete ushabiki huongei wa mambulula na misukule ya CCMMimi sio mfuatiliaji wa vipindi vya t.v. lakini ninachojua tbc wana vipindi vingi sana vinavyohusu maswala ya maendeleo ya nchi, vikielezea miradi tofauti katika sekta tofauti tofauti, changamoto na mabadiliko chanya katika jamii.
Ila sababu hivyo vyote vimefanyika chini ya serikali ya chama kilichopo madarakani wapinzani wanaona kama ni kampeni huku wakisahau wananchi wana haki ya kuhabarishwa maendeleo yao
Sio lazima wote tufanane kama wewe hufurahii inatosha.....mbona mnapenda kulazimisha mpendacho nyie ndo wengine pia wapende na msichokipenda basi wote wasipendeKwa akili yako ya kisoda unafurahia TV ya umma kuwaonyesha madikteta na wezi wa CCM pekee?
Sio siri wanaboa kweli kweli, nadhani shida ni mkurugenzi kuwa kada, Rioba ndio anaiua kabisa TBCYaani kuanzia Asubuhi hadi jioni ni CCM tu. Vipindi vingi wanavyoviandaa ni lazima vihusiane na mambo ya Chama. Yaani imekuwa ni kama TV ya Chama. Chombo cha umma kilipaswa kiwe Neutral na kiwe kwa manufaa ya watu wa vyama vyote.
Sema, sisi misukule bado tunaipendaWengine bado tunaipenda
Aliekwambia nimetetea ni nani? Mbona mmejifunza kukurupuka hivyo? Sasa Kati yangu na wewe ni Nani mpumbavu?Sasa ndio umetetea au umesupport hoja? Afadhali uwe mjinga ujitambue kuwa u mjinga utaufuta kwa kutafuta ufahamu, siyo wewe mpumbavu uliyepumbaa akili usiyejitambua. Maana mpumbavu hajui lakini anajiona anajiona anajua, mshamba lakini anajiona mjanja
Unaweza ukapenda mavi, haimaanishi kwa sababu una haki ya kupenda chochote basi mavi ni mazuri kukaa nayo. Hoja ni kwamba, je TBC inayotumia kodi ya wananchi kuendeshwa inatenda haki kwa kuwapa coverage wagombea wa CCM pekee? Jibu swali la hoja ya msingi halafu endelea kupenda kukaa na mavi, kisha usitulazimishe tuone ni sawa kupenda uchafuSio lazima wote tufanane kama wewe hufurahii inatosha.....mbona mnapenda kulazimisha mpendacho nyie ndo wengine pia wapende na msichokipenda basi wote wasipende
Zimeshatoka
Kama hujatetea ni nini ulichofanya? Bado wewe ni MPUMBAVU kwa maana naichukia CCM kwa matendo yake dhidi ya wapinzani wake, hii inazidisha upumbavu wako kwa kuniona mimi jobless kwa kuipinga CCMAliekwambia nimetetea ni nani? Mbona mmejifunza kukurupuka hivyo? Sasa Kati yangu na wewe ni Nani mpumbavu?
KWAKIFUPI: Hasira zako juu ya CCM, hazitakufanya uondokane na status ya kuwa jobless.