Uchaguzi 2020 TBC, sasa tumewachoka kwelikweli, mnachochea hasira kubwa msiyoweza kuizima

Uchaguzi 2020 TBC, sasa tumewachoka kwelikweli, mnachochea hasira kubwa msiyoweza kuizima

Haya yote yamesababishwa na mtu mmoja aliyepungukiwa Hekima. Bila kumuondoa mtu yule tutaanza kuviziana wenyewe kwa wenyewe usiku wa manane kutokana na chuki inayopandikizwa na mtu yule. Eti divide and rule. Upuuzi mtupu.
 
Aliekwambia nimetetea ni nani? Mbona mmejifunza kukurupuka hivyo? Sasa Kati yangu na wewe ni Nani mpumbavu?

KWAKIFUPI: Hasira zako juu ya CCM, hazitakufanya uondokane na status ya kuwa jobless.

hahaha punguza makali utamuua jamaaa, huyu analalamika TBC kwa sababu kwenye kingamuzi ni free alafu si unajua ni lofa sasa hana la kufanya
 
Umesema hufuatilii, sasa una comment nini hiki?
"No research no right to speak"

Katiba inasema Tanzania ni nchi ya vyama vingi.. Tbc wanatumia Kodi za wananchi wote, lkn wanafanya coverage ya ccm pekee, what a nuisance!!!

hata ruzuku ni kodi za wananchi, mambo ya kupiga nazo konyagi muache
 
Busara ingetumika sio kila kitu ni kushupaza shingo kwa sababu watu watashangilia... Chadema kimejaza wakora ndio shida inaanza apo.

shida ni hawasaidiki, hata tbc walishaenda kwenye kampeni zao kurusha matangazo yao lakini walichokutana nacho nadhan wacha waendelee tu kurusha ccm maaana wao ata mtu mwenye blog akija hawabagui
 
Aliekwambia nimetetea ni nani? Mbona mmejifunza kukurupuka hivyo? Sasa Kati yangu na wewe ni Nani mpumbavu?

KWAKIFUPI: Hasira zako juu ya CCM, hazitakufanya uondokane na status ya kuwa jobless.
 
Jana nilikuta dogo miaka 10 anasngalia tbc nikamwamulu azime na aende kulala maana najua itamuharibu kiakili na kimwili pia
 
kuna jamaa alifungua thread analalamika kuhusu huu wimbo , daaah maisha yanaenda spidi sana
Juzi mabibo sokoni/mahakama ya ndizi niliwakuta wafanya biashara wanamsikiliza bekaflava



Nikawaambia kwani nyie hamumtaki Tundu? Wakanijibu watuachie huyu mzee aliyefanya wamachinga tuheshimike💥🇹🇿😍😁😁😁
 
hahaha punguza makali utamuua jamaaa, huyu analalamika TBC kwa sababu kwenye kingamuzi ni free alafu si unajua ni lofa sasa hana la kufanya
Mkuu kuna watu hawajitambui kabisa,wao wamezoea kuishi kwenye ndoto za watu.
 
Matangazo ya TBC hususani kampeni za Uchaguzi Mkuu ni utopolo mtupu uliokosa weledi na busara za kiutangazaji kama chombo cha umma kinachogharamiwa na kodi za wananchi wote.

Tumevumilia sana, sasa tumechoka. Ni ujinga, hata kama mnalazimishwa, kuitangaza CCM pekee na Wagombea wake kuanzia Asubuhi mpaka jioni kana kwamba ndiyo chama pekee.

Hili limezua hasira kuu, chuki mbaya, na kimsingi badala ya kuieneza CCM mmeiua kabisa CCM kwenye mioyo ya wananchi. Badilikeni haraka, la sivyo, mnachokitafuta, kwa ujinga wenu, mtakipata.

Tatizo siyo TBC, tatizo ni kuwa watu hawataki kuona wala kusikia habari za Magufuli wala CCM...

Na kwa kifupi sana, TBC wanafanya biashara au huduma kichaa isiyo na return yoyote...

Wao ni kutumia tu lakini hawaingizi chochote simply kwa sababu tu wanaabudu laana (CCM na Magufuli) badala ya baraka za Mwenyezi Mungu (umma wa Watanzania)....
 
Hii sio tv ya taifa jamani bali ni ccmtv, utopolo mtupu!
Hivi mnapata wapi muda wa kuingalia?
 
Sasa si muangalie station nyingine kwn mmelazimishwa? Na seriuos mnataka wampe coverage mtu kajaa matusi hotuba zake zote?
Hivi tusi maana yake nini. Katukanaje kwa mfano. Ukisema mtu kachukua pesa za umma kenda kujengea kiwanja cha ndege kijijini kwao, hilo ni tusi?

Ukisema mtu na mpwa wake ndio wanaojua fedha za serikali zinatumikaje, je hilo ni tusi? Ukisema mtu kaamurisha mahesabu ya shirika la ndege yasikaguliwe na CAG je hilo ni tusi?

Ukisema mtu kaanzisha mbuga za wanyama kwao ndio tusi hilo au ukisema mtu kala rambirambi za wahanga wa tetemeko ni tusi?

Unless unataka kujishusha hadi kuwa na akili ziro ndio unaweza kusema hayo ni matusi. Huoni kwamba kwa hayo Magufuli alitakiwa awe jela lkn mfumo ndio bado unamkongoja.

Come on wake up and come to your senses and stop being somebody's stooge. Liberate your mind.
 
Back
Top Bottom