MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
unalinganisha tv1 na vitu vya hovyo??Tbc inazidiwa hata na TV1
Sasa mkuu unalinganisha TV1 na TBCCM? Kwanza wana picha mbaya utadhani wanatumia kamera ya Kodak.Tbc inazidiwa hata na TV1
Kazi ya ccmHivi Tbc bado inafanya kazi?
Mwache kutangaza kama wasemaji wa chama be neutral. Inaboa sana kuangalia hii TV kutwa kutafuta habari positive kwa ccm basiTBC CCM nani anataka kuangalia huu upupe.
swissme