Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

Wacha wafu wazikane,

Katika dunia ya leo ambayo ulimwengu upo kiganjani mna-report habari kimatabaka kama sio ujinga ni nini?

Kazi ya vyombo vya habari ni kutoa taarifa tu na sio watetezi wa vyama vya siasa.

Upinzani hata ufanye vizuri vipi ham-report lakini wale jamaa zenu kila siku kuwatetea.

Na mtawndelea kudolola maana hamna namna
 
Yaani kweli hawajui tatizo? Kweli au wanatania??? Waache siasa za upendeleo, nani anamkumbuka yule Binti aliekua anasoma magazeti kwa kuruka headings za Upinzani au kuondoshwa kwa Tido. Sababu ziko wazi, wajipambanue. Naapa sijawahi kusikiliza TBC radio au TV labda pale tu ambapo labda kuna kipindi kile cha Yule Jamaa mwenye kipindi cha Ubongo Kids ambapo watoto wangu wanakipenda
 
Huyo mkurugenzi aliitisha kikao cha dharura inamaana hafahamu ukweli halisi wa kutotazamwa kwa TBC na watz wengi?, mm naona kuanzia mkurugen hadi wafanyakaz wote wanajua sababu A-Z hivyo kikao ilikuwa kiinimacho tu ili wajilipe posho sikukuu isiwaendee kombo
 
HUYU MKURUGENZI MPYA KIJANA SIJUI ANAKWAMIA WAPI?...
-->>AONDOE BIASIMENT
-->>PROGRAM ZA VIPINDI TVs,RADIO WAVIPANGILIE UPYA...
-->>WAITE DAMU CHANGA, ZENYE UBUNIFU KAMA GERALD HANDO.
-->>VIPINDI VYAO VILENGE KUNDI LA VIJANA WALIOWENGI KWA SASA...
-->>WAIBE WAFANYAKAZI MAHIRI KUTOKA VITUO VINGINE...
 
Back
Top Bottom