Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Yaani wana uzunguka m-buyu, wakati wanakimbia kivuli chao[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tatizo wanalikwepa wakati wanalijua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wana uzunguka m-buyu, wakati wanakimbia kivuli chao[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tatizo wanalikwepa wakati wanalijua
Ikikosea kaa chini tafakar ni n.a. chukua hatuaUonngozi wa juu wa TBC na wafanyakazi wengine wa kituo hicho usiku wa kuamkia leo wamefanya kikao cha dharura kuangalia sababu za kudorora kwa kituo hicho kikubwa cha TV ambacho kimemalizika saa 11 alfajiri.
Pamoja na mengine kitu kilichoonesha kuwaumiza kichwa zaidi ni jinsi gani kituo kikubwa kama hicho kinachopata ruzuku kubwa kutoka serikalini kinakuwa na ratings za mwisho huku kikizidiwa na vituo ambavyo havina hata miaka mitano hewani.
Mkurugenzi amesisitiza sana na kuwaomba wafanyakazi wa TBC kama ikitokea rais anapiga tena simu kwenye kituo chochote cha TV basi iwe TBC na ikiwa anatuma kadi ya salamu basi iwe TBC
Ni tv mbovu kuwahi kutokea duniani.Sasa kama story zenyewe ni Kuhamia Dodoma na Mwaka mmoja wa Magu every time, nani ataangalia.
Hawana ubunifu, sijui wanasoma chuo gani?Wakwende zao huko.. Hata wafanyakazi wao wakistaafu wanaenda kula mikataba ya miaka miwili miwili pale Radio UHURU! Hawawezi kamwe kujitenga na u-CCM