Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

TBC ya Tido Mhando ndo ilikuwa Television ya kuangalia, Tangu Alipoondoka Tido mhando taarifa zao za habari zikawa za hovyo, Matukio wanaficha wakati enzi ya Tido mhando tulisikia na kuona kila kitu, Kiongozi akitoa maagizo, kama Luna mjadala ilikuwa ya wazi, Mfano Mchakato wa majimboni, Kwenye taarifa za habari tulioneshwa mwanzo wa tukio had I mwisho bila kutuacha na maswali ya ziada Susi watazamaji, TBC ya sasa IPO tayari kuficha ufisadi wa kiongozi ili kulinda Tabaka tawala , Kwa kweli Baba Magufuli turudishie Tido Mhando wetu kwenye TBC ili airudishe kama mwanzo, Huyu aliyepo in mzigo usiobebeka hata na msukuma ambao husifika kubeba mizigo mizito. BABA MAGUFULI TAMKA NENO MOJA TU NA TBC YETU IPONE, NENO HILO NI BRING BACK OUR TIDO MHANDO TO TBC.
 
Washauri wa Baba Magufuri turudishieni Tido Mhando wetu, Binafsi tangu alipoondoka Tido Mhando sikumbuki ni lini nilitizama TBC
 
Hii ndiyo sabb ya wao kukaa kwa dharura usiku? Si wangejadiliana mchana kweupe tu?

kurudisha imani kwa watazamaji ngumu sana. kuna ndoa zimevunjika kwa kosa la mmoja wao kukutwa anatazama TBC.
 
Nafikiri wawekeze kwenye ubunifu mikwala haitowasaidia. Bado sijaona kipindi cha kunifanya nifungulie TBC.
 
Niliacha miaka mingi sana kuangalia kituo hicho. Nawasikitikia wale wanaopeleka matangazo yao hhuko, .
 
hawawezi kamwe kujinasua la hilo,hicho ni kidonda ndugu kwao hawako kitaaluma ila wanatumika vibaya na ccm na serikali yake. laana ya kumfukuza Tido itawaandama hadi wakampigie magoti .
 
Itachukukua muda sana kurudisha imani ya watazamaji kwa TBC
 
TBC hamko vibaya jaribuni
1.ku ji RE-INVENT- Upya!
2. Mnahitaji mfanye MARKET SURVEY ili kujua ni nini CONSUMERS/WALAJI wa VIPINDI wanataka kusikia na kutazama.
3. Habari zenu ziwe COMPETITIVE/ za USHINDANI
4.Muwe innovative/WABUNIFU
5. Hata habari za vyama vya UPINZANI vipate equal COVERAGE si katika UHASI peke yake bali hata katika mambo yao CHANYA!
6. Taarifa zenu ZISIWE HEAVILY REDUCTED/ZILIZO EDITIWA sana mpaka zinamaliza UTAMU wa habari. Kwa njia hiyo mtabaki kwenye market . bila hiyo MTAFUNGA
 
Ni mimi mtangazaji wako Gabriel Zakaria.
 
Watakuwa wanaprint nakala 100 kwa siku.
Mkuu umesahau Hawa uhuru media wanaiuzia serikali magazeti Yao, refer dhihara ya magufuli kule alipoahidi kuwalipa yeye yaaani pesa za ikulu
 
Hawajui sababu, waende wakajifinze gazeti la uhuru, ccm ni chama kikomavu lkn mawazo ya kitoto kitotoooo. Mpk wabunge wa ccm mambo yao ya kitoto kitoto aibu. Nani asikilize misifa fm hata hakuna cha kusifiwa bado ni sifa tv
 
Mimi naifungulua tuu mda mwanangu akiwa anataka kuangalia kipindi cha wayoto kiitwacho akiliakili
 
TBC imejaa wazee kutoka RTD wapo hadi Leo ! Usitegemee mabadiliko kwenye mazingira Kama hayo !!
 
_sielewi why wanazotumia camera glass zenye giza

Tazama Nation TV ya Kenya au BBC au Al jazeera ziko very clear
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…