Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cartoon networkHivi kati ya TBC na Cartoon Network hipi inafaa kuangalia?
acha upuuzi kama ni kadi vituo vyote vya tv na radio vimepewa sema si kila kituo kina publish kila kitu....hata ITV WAMEPEWA...hili si jukwaa la kufanya mizaa na ujinga...mnafanya jf ionekane ya wazushi kwa kuandika uzushi kila leo...
Hawatakaa warudie kosa, bado clouds fmCCM so ya mchezo mchezo kabisa, yaani ukishatumika na ccm kifuatacho kifo cha Mendee mnakumbuka Sahara media ya Mwanza?? Sasa hivi hata sauti za magu sizisikii RFA Walijua magu atawachekea billions kibao anadaiwa diallo. Ndo basi teena
Yaani tendo la kuondoa Bunge live ndio ilikuwa kuizika rasmi TBC. Hata waandishi na watangazaji nguli waluobaki TBC ni kwa kuwa wanategemea iko siku Rais atawakumbuka kwa nafasi za UDC/RC.Warudishe Bunge live ili Tibithii ipate watazamaji.. La sivyo itasahaulika kabisa...
Safari ya DodomaSidhani kama TBC wana kipindi hata kimoja kinachovututia.