Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

Hawa nao walishapoteza imani ya wananchi..... Hata taasisi za serikali km wana matangazo.. Hupendelea vitro vingine na si hiki!!!!
 
Picha mbaya,watangazaji hawavutii, sometimes signals na sauti zinapishana, kiujumla hawana swaga.
 
Lyoba naye pamoja PhD yake anawakalisha watu macho kujadili kitu anachokijua na jawabu lake! Wafanye kazi kama ililivyomazoea yao huku wakisubiri ruzuku. Kutaka ushindani na vyombo vingine watafukuzwa kazi na ccm
 
Hivi mi najiuliza kama sababu ya TBC kudorora ni kwasababu ya kuipendelea ccm, mbona hiyo ccm inashinda ktk chaguzi?
 
TBC wamekosa Ubunifu na ndiyo mana watazamaji wamepotea Watu wengi siku hizi Tarifa ya Habari wana angalia ya ITV huku vijana wengi tumeganda kwenye Clouds Tv na EATV.
Itawachukuwa muda sana mpaka warudi wawe kama wengine.
N
 
acha upuuzi kama ni kadi vituo vyote vya tv na radio vimepewa sema si kila kituo kina publish kila kitu....hata ITV WAMEPEWA...hili si jukwaa la kufanya mizaa na ujinga...mnafanya jf ionekane ya wazushi kwa kuandika uzushi kila leo...

Kaka nini kifanyike ili Tbc iwe bora au iendane na ushindani na vituo vingine? Nime kuuliza maana na imani na majibu yako
 
TBC halisi ni ile iliyokuwa chini ya Danstan Tido Mhando; kwenye taarifa ya habari walikuwepo Joe Kihampa na Charles Msami, sijui wameenda wapi hao jamaa. Ilikuwa lazima niitazame. Hii ya sasa imekuwa TBCCM, hilo ndilo limeiharibu, labda Dr Ryoba atairudisha relini.

Vv
 
rafiki yangu mwendesha bar, saa 2 usiku wateja wanaomba aweke taarifa ya habari kwenye tv. 'ondoa hiyo tbc, unaweka station gani?, ina kitu hiyo?, si upuuzi tu hiyo? weka...au ..hizo ndio station utapata taarifa ya kueleweka' hayo ni majibu ya wateja. naamini hotuba mhimu za viongozi wa kitaifa kuwekwa tbc kwa nia zisikike kwa wananchi wengi, wanajidanganya.
 
TBC haiwezi kurudi kwenye chati mpaka itakapoacha kuendeshwa kwa hila na ujanja ujanja.
 
Nani apoteze muda wake kusikiliza propaganda za CCM? TV gani ambayo Camera zake zinashindwa kunasa matukio mazuri ya wapinzani?
 
CCM so ya mchezo mchezo kabisa, yaani ukishatumika na ccm kifuatacho kifo cha Mendee mnakumbuka Sahara media ya Mwanza?? Sasa hivi hata sauti za magu sizisikii RFA Walijua magu atawachekea billions kibao anadaiwa diallo. Ndo basi teena
Hawatakaa warudie kosa, bado clouds fm
 
wakitaka waoneshe tamthilia za korea 24hrs
 
Du sasa ndo wafanye vikao usiku wajameni tena wakati wa sikukuu..?
 
Back
Top Bottom