Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri


Mi nikiangalia tbc kwa vipindi vya bunge live kipindi kile sasa wameondoa ata sina habari kama kuna tv inaitwa tbc., wacha ife kabisakabisa
 
M


Msami yupo Marekani anatangaza idhaa moja ya kiswahili huko
 
Ubongo kids IPO vizuri
 
Tulikuwa tunasikia jokes siku nyingi kuhusu ulaji TBC. Wanasema mitaani, "Watu wamekula sana hela pale TBC'

Ufisadi ambao ulikuwa unahusishwa na wakati Wachina walipokuwa wanashirikiana na TBC.
 
TBC ni imara na ndiyo yenye vyombo vya thamani kubwa sana ktk studio zake.

Wafanyakazi wake ni professional wote na ni TV inayojua nini inafanya ktk tasnia ya habari


TBC hawasubiri sifa za kupongezwa kwani wao wanawajibika kuwapa wanainchi taarifa,kuwaburudisha na kuwaelimisha.

TBC Obvan yao ni Kali sanaa na ziko chache nchi za Africa.

Ile ni TV ya Taifa na itaendelea kufanya kazi ktk kuitangaza Serikali kama Sera inavyosema.
 
Ndio maana mkufunzi huyu Wa UD alipochaguliwa kua MD wa hapo nilimdharau sana, finally nikafikiria labda kafata mshahara cause nae ana watoto na ndugu wengine wanao mtegemea but kwa naona ya profeshino yake, mmh!
Bahati mbaya au nzuri...bwana ayoub ryoba hana mtoto Tanzania. Anaye mtoto mmoja Denmark alupoenda kusoma degree lakini hajamkubali wala kumtunza huyo mtoto..sasa hivi ana miaka 15..tupo na mama yake huku tunamla kweli sababu anapenda naniiii zetu.kwa kifupi ryoba ni fala hasiye na ujuzi wowote wa kuongoza taasisi...ni mwalimu mzuri wa kufundisha
 
Bwana huyu hajawai kuuza hata pipi mtaani. Inshort ni mtupu kimaarifa ya kibiashara..thesis yake ya udocta ilihusu demokrasia..wapi amewahi kupata mafunzo ya kuendesha a public broadcasting institution...magufuli alichemka mno
 
Hahaha tbc kamwe haiwezi kufikia kama itv clouds efm
 
Wanazidiwa mpaka na times fm ambayo ipo dar tu
 
Tbc ndiye mnyama gani

Mm katika runinga yangu nimeshafanya setting isionekane hata nisikute watoto wanaangalia.

Hata kutaja hilo jina tu Najisikia kichefuchefu
Naaammm....juzi tu nilimshushia mwanangu bakola baada ya kumkuta anangalia gwalide na uhulu. Niliwambia bola muende uwanjani kiliko kufungulia tbc
 
Vipindi vinavyokera ni kile cha sakata wanajifanya eti na wao ni BSS yaaanj kinaboa kishenz bora ile cartoon tu ya ubongo kids ndo kipindi bora kwa sasa tbc
 
Kodi zetux3! Hebu wawaondolee luzuku na wajitegemee kama Azam. Wallahi awataweza kusurvive zaidi ya nusu mwaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…