Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uonngozi wa juu wa TBC na wafanyakazi wengine wa kituo hicho usiku wa kuamkia leo wamefanya kikao cha dharura kuangalia sababu za kudorora kwa kituo hicho kikubwa cha TV ambacho kimemalizika saa 11 alfajiri.
Pamoja na mengine kitu kilichoonesha kuwaumiza kichwa zaidi ni jinsi gani kituo kikubwa kama hicho kinachopata ruzuku kubwa kutoka serikalini kinakuwa na ratings za mwisho huku kikizidiwa na vituo ambavyo havina hata miaka mitano hewani.
Mkurugenzi amesisitiza sana na kuwaomba wafanyakazi wa TBC kama ikitokea rais anapiga tena simu kwenye kituo chochote cha TV basi iwe TBC na ikiwa anatuma kadi ya salamu basi iwe TBC.
TBC halisi ni ile iliyokuwa chini ya Danstan Tido Mhando; kwenye taarifa ya habari walikuwepo Joe Kihampa na Charles Msami, sijui wameenda wapi hao jamaa. Ilikuwa lazima niitazame. Hii ya sasa imekuwa TBCCM, hilo ndilo limeiharibu, labda Dr Ryoba atairudisha relini.
Vv
Ubongo kids IPO vizuriYaani kweli hawajui tatizo? Kweli au wanatania??? Waache siasa za upendeleo, nani anamkumbuka yule Binti aliekua anasoma magazeti kwa kuruka headings za Upinzani au kuondoshwa kwa Tido. Sababu ziko wazi, wajipambanue. Naapa sijawahi kusikiliza TBC radio au TV labda pale tu ambapo labda kuna kipindi kile cha Yule Jamaa mwenye kipindi cha Ubongo Kids ambapo watoto wangu wanakipenda
Siku wakimludisha Tiddo ndo nitangalia tbcWatazunguka sana ila kizizi kaondoka nacho Tido aka Sir Alex Ferguson wa bongo.
Bahati mbaya au nzuri...bwana ayoub ryoba hana mtoto Tanzania. Anaye mtoto mmoja Denmark alupoenda kusoma degree lakini hajamkubali wala kumtunza huyo mtoto..sasa hivi ana miaka 15..tupo na mama yake huku tunamla kweli sababu anapenda naniiii zetu.kwa kifupi ryoba ni fala hasiye na ujuzi wowote wa kuongoza taasisi...ni mwalimu mzuri wa kufundishaNdio maana mkufunzi huyu Wa UD alipochaguliwa kua MD wa hapo nilimdharau sana, finally nikafikiria labda kafata mshahara cause nae ana watoto na ndugu wengine wanao mtegemea but kwa naona ya profeshino yake, mmh!
Naaammm....juzi tu nilimshushia mwanangu bakola baada ya kumkuta anangalia gwalide na uhulu. Niliwambia bola muende uwanjani kiliko kufungulia tbcTbc ndiye mnyama gani
Mm katika runinga yangu nimeshafanya setting isionekane hata nisikute watoto wanaangalia.
Hata kutaja hilo jina tu Najisikia kichefuchefu
Kodi zetux3! Hebu wawaondolee luzuku na wajitegemee kama Azam. Wallahi awataweza kusurvive zaidi ya nusu mwaka!TBC ni imara na ndiyo yenye vyombo vya thamani kubwa sana ktk studio zake.
Wafanyakazi wake ni professional wote na ni TV inayojua nini inafanya ktk tasnia ya habari
TBC hawasubiri sifa za kupongezwa kwani wao wanawajibika kuwapa wanainchi taarifa,kuwaburudisha na kuwaelimisha.
TBC Obvan yao ni Kali sanaa na ziko chache nchi za Africa.
Ile ni TV ya Taifa na itaendelea kufanya kazi ktk kuitangaza Serikali kama Sera inavyosema.