Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,045
- 5,108
Usifananishe carton network na mambo ya kijinga.....Hivi kati ya TBC na Cartoon Network hipi inafaa kuangalia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usifananishe carton network na mambo ya kijinga.....Hivi kati ya TBC na Cartoon Network hipi inafaa kuangalia?
Umeua haaa haaaUsifananishe carton network na mambo ya kijinga.....
Wapo wafanyakazi wazuri sana...ila nadhani wanabanwa na kulinda, kutetea na kuheshimu Sera za serikali iliyopo madarakni....wapo wapo wengi tu wazuri...mfano mama mmoja alikuwa BBC kama sikosei anaitwa Mungi ni mmoja ya watangazaji mahiri....akina Marini Hassani....wapo chungu nzima watangazaji wazuri..
Hoja hapa ni Rais kuisifu Clous na kuiacha TBC. Kama hoja yako iko sawa,basi unataka kusema kuwa na Rais wetu naye anapenda "Mambo ya hovyo hovyo"?Watanzania wanapenda mambo ya ovyo ovyo na yenye kusisimua hisia zao.TBC ni chombo cha umma lazima kiwe na maadili ya kutoa taarifa lakini zaidi lazima itoe elimu kwa umma,sio miziki na mambo ya ovyo ndio muone inawafaa.
Duuuuu hahahahahaunalinganisha tv1 na vitu vya hovyo??
IPO hewaniunalinganisha tv1 na vitu vya hovyo??
Hivi Tbc bado inafanya kazi?
Televisheni ya umma inapovaa vazi la kijani unategemea nini? Wanavuna wanachopanda!sidhani kama italudi kwenye chat tena
ccm imewaponza
Ubongo Kids ndio kipindi pekee nnachoweza kutazama TBCYaani kweli hawajui tatizo? Kweli au wanatania??? Waache siasa za upendeleo, nani anamkumbuka yule Binti aliekua anasoma magazeti kwa kuruka headings za Upinzani au kuondoshwa kwa Tido. Sababu ziko wazi, wajipambanue. Naapa sijawahi kusikiliza TBC radio au TV labda pale tu ambapo labda kuna kipindi kile cha Yule Jamaa mwenye kipindi cha Ubongo Kids ambapo watoto wangu wanakipenda
Mwenyewe nashangaa..!!!Hivi Tbc bado inafanya kazi?
Hebu kuwa na staha ndugu maneno hayo si ya kimaadili ningekua karibu yako nadhani ningekuwa police asee umenichafua sana kwa kweli, nyie ndio mnawagharimu kina Max kutetea upuuzi Kama huu Idiot.Bahati mbaya au nzuri...bwana ayoub ryoba hana mtoto Tanzania. Anaye mtoto mmoja Denmark alupoenda kusoma degree lakini hajamkubali wala kumtunza huyo mtoto..sasa hivi ana miaka 15..tupo na mama yake huku tunamla kweli sababu anapenda naniiii zetu.kwa kifupi ryoba ni fala hasiye na ujuzi wowote wa kuongoza taasisi...ni mwalimu mzuri wa kufundisha