Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

Wapo wafanyakazi wazuri sana...ila nadhani wanabanwa na kulinda, kutetea na kuheshimu Sera za serikali iliyopo madarakni....wapo wapo wengi tu wazuri...mfano mama mmoja alikuwa BBC kama sikosei anaitwa Mungi ni mmoja ya watangazaji mahiri....akina Marini Hassani....wapo chungu nzima watangazaji wazuri..

Kama wewe unatangaza bila upendeleo maanake jamii lazima ikuheshimu, kwanini sasa jamii haipendi TBC?
 
Watanzania wanapenda mambo ya ovyo ovyo na yenye kusisimua hisia zao.TBC ni chombo cha umma lazima kiwe na maadili ya kutoa taarifa lakini zaidi lazima itoe elimu kwa umma,sio miziki na mambo ya ovyo ndio muone inawafaa.
Hoja hapa ni Rais kuisifu Clous na kuiacha TBC. Kama hoja yako iko sawa,basi unataka kusema kuwa na Rais wetu naye anapenda "Mambo ya hovyo hovyo"?
 
Hahaha..."kile chama" ndio kimesababisha watazamaji wakikache TBC, Naona wamekalia kuti kavu.


Kile chama.....
 
TBC inapendelea CCM,na CCM ni wachache kuliko watanzania.
Hivyo ni dhahiri lazima ipoteze umaarufu.Nimeacha kuangalia vipindi vyao miaka kadha sasa,
 
Yaani kweli hawajui tatizo? Kweli au wanatania??? Waache siasa za upendeleo, nani anamkumbuka yule Binti aliekua anasoma magazeti kwa kuruka headings za Upinzani au kuondoshwa kwa Tido. Sababu ziko wazi, wajipambanue. Naapa sijawahi kusikiliza TBC radio au TV labda pale tu ambapo labda kuna kipindi kile cha Yule Jamaa mwenye kipindi cha Ubongo Kids ambapo watoto wangu wanakipenda
Ubongo Kids ndio kipindi pekee nnachoweza kutazama TBC
 
Imepoteza ladha, ushauri Wangu ni hivi waache ubaguzi, hii dhambi ndio iliyoiua TBC, ubaguzi ni dhambi mbaya sana, wenye kumbukumbu mtakumbuka kipindi cha kapeni TBC iligeuka kuwa TV ya chama cha mapinduzi, ikavibagua vyama vyote vya upinzani, tuliwatabiria kifo hakuliona, ILI MPONE WAOMBENI RADHI WATANZANIA KWA MLIYOYATENDA HUKO NYUMA, PILI TAARIFA ZENU ZA HABARI ZIWE MOTOMOTO BILA UPENDELEO, TOENI FURSA KWA VYAMA VYOTE HATAIKIWEZEKANA KILA SIKU KUWE NA MIJADALA YA MAENDELEO NA KUSHAURI SISI KAMA TAIFA TUFANYE NINI TUENDELEE, TOENI NAFASI KWA WANAMZIKI WETU NA WASANII MASHUHURI WAWE NA VIPINDI LIVE ILI KUWAPATA VIJANA, MWISHO WATANGAZAJI NAO WAWE NA MADOIDO ILI KUITEKA HADHIRA, I love my country, TBC its mine, mafanikio mema.
 
Mwanzo 4:7 - Kwani ukitenda mema hutapata kibali?

TBC wana operate nje ya dira na dhima yao, hawawezi kupata kibali mbinguni na dunian, hadi watakapojirekebisha.
 
Hivi kile kipindi cha "This week in Perspective" bado kipo? Maana zamani nakumbuka kilikuwa kinaalikwa watu ambao angalau ni vichwa kudiscuss issues...
 
TBC kilibeba maiti ya CCM badala ya kuizika wakawa wanaishi nayo unategemea nini ?? Aikujua kuwa sisiemu ni mzoga
 
Kifurushi changu kikiisha ndio napataga fursa ya kuangalia TBC na kipindi ninachoangalia ni ubongo kids sitaki mchezo

kuna jamaa mmoja muuza nyama chanika DSM nje la duka lake la kuuza nyama kaandika TBC butchery wateja hawaendi
 
Bahati mbaya au nzuri...bwana ayoub ryoba hana mtoto Tanzania. Anaye mtoto mmoja Denmark alupoenda kusoma degree lakini hajamkubali wala kumtunza huyo mtoto..sasa hivi ana miaka 15..tupo na mama yake huku tunamla kweli sababu anapenda naniiii zetu.kwa kifupi ryoba ni fala hasiye na ujuzi wowote wa kuongoza taasisi...ni mwalimu mzuri wa kufundisha
Hebu kuwa na staha ndugu maneno hayo si ya kimaadili ningekua karibu yako nadhani ningekuwa police asee umenichafua sana kwa kweli, nyie ndio mnawagharimu kina Max kutetea upuuzi Kama huu Idiot.
 
Back
Top Bottom