Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,819
- 7,638
Na ndo maana alipigwa chini na JHMK!Sasa kama wanaripoti mambo yasiyo na uhalisia nani aangalie hyo kitu?
Mbona Tido aliwezesha TBC kuwa na mvuto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndo maana alipigwa chini na JHMK!Sasa kama wanaripoti mambo yasiyo na uhalisia nani aangalie hyo kitu?
Mbona Tido aliwezesha TBC kuwa na mvuto?
Sasa Kama wanajiandikia Mizigo huku li TV Lao likiwa Mzigo mzito zaidi lisilo bebeka hao wote ni mizigo tuu hadi walio wateua.Nyie mnapotoshwa maboya,wenzenu watakuwa wamekaa ili kujiandikia mzigo WA Xmas na Nyie kwa kuwaza haraka haraka mmedhani wanadiscuss performance.
Ule ulikuwa mkesha mahsusi ukienda kucheck muamala WA Oc ndio utaelewa walikuwa wanajadili nini
Kweli aisee picha mbaya sana,utadhania mle ndani ya studio wanachoma mkaaSasa mkuu unalinganisha TV1 na TBCCM? Kwanza wana picha mbaya utadhani wanatumia kamera ya Kodak.
wanajaribu kuzifufua taasisi nyingine za serikali kama Air Tanzania na TTCL, naamini wakiamua kuwekeza TBC itaamka tusidhani kama italudi kwenye chat tena
ccm imewaponza
Wapo wafanyakazi wazuri sana...ila nadhani wanabanwa na kulinda, kutetea na kuheshimu Sera za serikali iliyopo madarakni....wapo wapo wengi tu wazuri...mfano mama mmoja alikuwa BBC kama sikosei anaitwa Mungi ni mmoja ya watangazaji mahiri....akina Marini Hassani....wapo chungu nzima watangazaji wazuri..Kuanzia tv mpaka wafanyakazi hawana mvuto hata kidogo.
Niliingia mule ndani siku moja....
Sasa Kamera mona ikawa inaleta tatizo... Na fundi hakuwapo karibu. Kukiwa na haja ya kurekodi kipindi.......
Basi wakaamua kutimia simu ya MP21 kutekodi kipindi.. [emoji23]
Hivi ndiko aliko Ayubu Ryoba?Sasa kama wanaripoti mambo yasiyo na uhalisia nani aangalie hyo kitu?
Mbona Tido aliwezesha TBC kuwa na mvuto?
Wapo wafanyakazi wazuri sana...ila nadhani wanabanwa na kulinda, kutetea na kuheshimu Sera za serikali iliyopo madarakni....wapo wapo wengi tu wazuri...mfano mama mmoja alikuwa BBC kama sikosei anaitwa Mungi ni mmoja ya watangazaji mahiri....akina Marini Hassani....wapo chungu nzima watangazaji wazuri..
Taarifa hizi za kikao umezipata wapi??Uonngozi wa juu wa TBC na wafanyakazi wengine wa kituo hicho usiku wa kuamkia leo wamefanya kikao cha dharura kuangalia sababu za kudorora kwa kituo hicho kikubwa cha TV ambacho kimemalizika saa 11 alfajiri.
Pamoja na mengine kitu kilichoonesha kuwaumiza kichwa zaidi ni jinsi gani kituo kikubwa kama hicho kinachopata ruzuku kubwa kutoka serikalini kinakuwa na ratings za mwisho huku kikizidiwa na vituo ambavyo havina hata miaka mitano hewani.
Mkurugenzi amesisitiza sana na kuwaomba wafanyakazi wa TBC kama ikitokea rais anapiga tena simu kwenye kituo chochote cha TV basi iwe TBC na ikiwa anatuma kadi ya salamu basi iwe TBC.