Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

Nyie mnapotoshwa maboya,wenzenu watakuwa wamekaa ili kujiandikia mzigo WA Xmas na Nyie kwa kuwaza haraka haraka mmedhani wanadiscuss performance.
Ule ulikuwa mkesha mahsusi ukienda kucheck muamala WA Oc ndio utaelewa walikuwa wanajadili nini
Sasa Kama wanajiandikia Mizigo huku li TV Lao likiwa Mzigo mzito zaidi lisilo bebeka hao wote ni mizigo tuu hadi walio wateua.
 
Niliingia mule ndani siku moja....

Sasa Kamera mona ikawa inaleta tatizo... Na fundi hakuwapo karibu. Kukiwa na haja ya kurekodi kipindi.......

Basi wakaamua kutimia simu ya MP21 kutekodi kipindi.. [emoji23]
 
Yaan nishasahau kama kuna kitu kinaitwa tbc,ni ITV tu
 
Kuanzia tv mpaka wafanyakazi hawana mvuto hata kidogo.
Wapo wafanyakazi wazuri sana...ila nadhani wanabanwa na kulinda, kutetea na kuheshimu Sera za serikali iliyopo madarakni....wapo wapo wengi tu wazuri...mfano mama mmoja alikuwa BBC kama sikosei anaitwa Mungi ni mmoja ya watangazaji mahiri....akina Marini Hassani....wapo chungu nzima watangazaji wazuri..
 
Niliingia mule ndani siku moja....

Sasa Kamera mona ikawa inaleta tatizo... Na fundi hakuwapo karibu. Kukiwa na haja ya kurekodi kipindi.......

Basi wakaamua kutimia simu ya MP21 kutekodi kipindi.. [emoji23]

Usikute hiyo simu wajanja walijikodishia kwa mamilioni ya pesa kwa kisingizio cha camera kuwa mbovu.
 
Wapo wafanyakazi wazuri sana...ila nadhani wanabanwa na kulinda, kutetea na kuheshimu Sera za serikali iliyopo madarakni....wapo wapo wengi tu wazuri...mfano mama mmoja alikuwa BBC kama sikosei anaitwa Mungi ni mmoja ya watangazaji mahiri....akina Marini Hassani....wapo chungu nzima watangazaji wazuri..

Marin naye mtangazaji? Tutake radhi,si bora Zembwela
 
Kama mtakatifu mwenyewe ana ikimbia Tbc ni nani atakayetamani kuisikiliza Tbc,wakati hata bunge lenyewe ambalo lingekuwa linawavuta watu kuwatazama akina Lissu wanavyofanya vitu vyao halionyeshi live.
 
Wao kazi yao si ni kushabikia "tumejipanga mwaka huu wataisoma namba" wanapaswa kuiheshimu kweli na kweli itawaweka huru. Aliyekuwa mkurugenzi wao sasahivi yupo AZAM TV, ni nani asiyeifahamu azam tv.
 
Ndio maana mkufunzi huyu Wa UD alipochaguliwa kua MD wa hapo nilimdharau sana, finally nikafikiria labda kafata mshahara cause nae ana watoto na ndugu wengine wanao mtegemea but kwa naona ya profeshino yake, mmh!
 
Uonngozi wa juu wa TBC na wafanyakazi wengine wa kituo hicho usiku wa kuamkia leo wamefanya kikao cha dharura kuangalia sababu za kudorora kwa kituo hicho kikubwa cha TV ambacho kimemalizika saa 11 alfajiri.

Pamoja na mengine kitu kilichoonesha kuwaumiza kichwa zaidi ni jinsi gani kituo kikubwa kama hicho kinachopata ruzuku kubwa kutoka serikalini kinakuwa na ratings za mwisho huku kikizidiwa na vituo ambavyo havina hata miaka mitano hewani.

Mkurugenzi amesisitiza sana na kuwaomba wafanyakazi wa TBC kama ikitokea rais anapiga tena simu kwenye kituo chochote cha TV basi iwe TBC na ikiwa anatuma kadi ya salamu basi iwe TBC.
Taarifa hizi za kikao umezipata wapi??
 
Back
Top Bottom