TBC wanatufanyia uhuni wa waziwazi walipakodi wa Nchi hii

Kipapatiro

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2017
Posts
1,129
Reaction score
1,497
TBC Mungu anawaona na kwakweli hamtutendei haki kabisa. Mmeonyesha live wagombea wote 35 wa vyama vingine, imefika zamu ya CHADEMA mmejitoa na kuleta kipindi cha ZINAZOKIKI. You guys what you are doing is very unfair.

Hii ndio sababu wananchi wameamua kuwaweka kando.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] bwana Ali muziki wa kihuni ndio upi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…