TBC wanatufanyia uhuni wa waziwazi walipakodi wa Nchi hii

TBC wanatufanyia uhuni wa waziwazi walipakodi wa Nchi hii

Si mnasemaga hamuwajawahi kuaangalia TBC leo mkueje? Wala hamtakaa muangalie kumbe miongo tu, leo kiko wapi. Waambueni Chadema media wajiunge
Sasa tutatazama wapi kama TV zote hawarushi?.
Hata online TV ya Mwanahalisi waliokuwa wanaonyesha live walitumia signal za tbc
 
Sidhani kama wana nia ya kutorusha, nadhani kule kwenye tume mpaka sasa hakuna cha kutangaza.
 
Hate UHAI TV ya Azam wamekata.
Too sad nchi imekuwa ya ajabu sana.. hqo viongozi wanaosema tuwaalombee nanmashehe na maaskofu wao waombewe na familia zao.
 
Baba muda huu yupo nyumbani kapumzika, anata kuangalia nyimbo za bongo fleva na "remote" ya luninga anayo mkononi.
 
Wanachadema wenzangu tuwe na subira, fomu bado zinahakikiwa. Hakatwi mtu makamanda, tahadhari zote zimechukuliwa. Hakuna aliyewahi kushindana na nguvu ya umma akashinda.
Makamanda Peoplessssssssss!
 
Mkuu Wataunga Tena........Kule Njendengwa Wanahakiki!

Punguza WAHKA...
 
Studio wameona watuwekee ule wimbo wa kikosi kazi uliyojaa matusi dhidi ya "weusi"
Sielewi hapa kinachoendelea, nasubiri mchakato wa kuwatea wagombea wawili wa kiti cha Urais ukamilike mara naona mauzauza. Lengo ni nini, au mnadhani akikatwa kimyakimya Wananchi hawatajua kuwa hila imetumika?
Kuna channel wanarusha live sasa ili nicheki?
 
Back
Top Bottom