TBC wanatufanyia uhuni wa waziwazi walipakodi wa Nchi hii

TBC wanatufanyia uhuni wa waziwazi walipakodi wa Nchi hii

TBC Mungu anawaona na kwakweli hamtutendei haki kabisa. Mmeonyesha live wagombea wote 35 wa vyama vingine, imefika zamu ya CHADEMA mmejitoa na kuleta kipindi cha ZINAZOKIKI. You guys what you are doing is very unfair.

Hii ndio sababu wananchi wameamua kuwaweka kando.
Hivi bado unaangalia hiyo channel? Embu block.. angalia channel za maana.
 
Back
Top Bottom