TBC wanatufanyia uhuni wa waziwazi walipakodi wa Nchi hii

Kwan Facebook na Citizen tv havipo live?
 
Hahaha hao TBC hawana la kulaumiwa, tunasubiri NEC tu.
 
Wanalipwa mishahara kwa pesa za walipa kodi wote lakini wanaifanyia kazi CCM ni matumizi mabaya ya pesa umma
 
Unacho takiwa kufanya ni kufuta kwemye akili yako kwamba kuna mdudu anaitwa Tbc. Hapo utakuwa na amani ya roho.. Mimi hata ukiniuliza tbc ni nini sikumbuki tena.
 
Kumbe mnaangalia tbc nakumbuka mlihamasishana kutoaangalia tbc kabisa
 
Tuanzishe ksmpeni

##ACHANA NA TBC##
 
TBC wanazan kufanya hivyo ndo kutampaisha Jiwe,mtalazimisha watu wampende,ila mioyon mwao wanamchukia sana,
 
Mkuu ni mwendelezo ule ule wa kuhakikisha Lissu haonyeshwi kwenye TV Stations zote Nchini na pia habari zake kutoandikwa kwenye magazeti yote Nchini ili kutimiza maagizo rasmi ya yesu fake.


 
Itv ya kijinga hata lissu wanaliogopa
Hakuna habar tena tz
 
TBC inatia kichefuchefu...
Cha ajabu TBC inaongozwa na msomi, mwandishi nguli, na mkufunzi wa ngazi ya Chuo Kikuu. Nina makala zake kutoka gazeti la Rai enzi za Jenerali Ulimwengu, nashindwa kuelewa huyu ndio yule Ryoba wa Rai au ni mwingine.
Kumbe ni kweli ' Mchawi mpe mwana amlee, hawezi kumloga'. Na adui yako mpe njaa halafu muonyeshe mkate wa siagi! Nilipenda sana kusoma makala zake enzi hizo sijui akizisoma yeye mwenyewe leo atajisikiaje hakika. Nikipata muda nitazipakia humu baadhi ya hizo makala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…