π π π πUjue mtani nimepita naona kila mtu anaikana TBC mwengine anadai inaumiza macho
Kasoro wewe umekiri utacheki kupitia TBC nabaki nashangaa
Mimi mwenyew ntakuwa live
Jf kwa maigizo hatujambo hahah
Kwa maisha ya sasa kulipia afu99 sio mchezo kwa mwezi ujue wengine huo ndo mshahara wetu mkuuMkuu mbona ni King'amuzi cha kawaida tu,bei ya kununua na hata vifurushi vyake vipo vya sie masikini
Kweli kabisaa...mm sio kwamba siwezi kununua la,hasha nawaza hata nikinunua naangalia nini na saa ngapi...si napoteza hela yangu tuu na vifurushi vyenyewe beiiiiKwa maisha ya sasa kulipia afu99 sio mchezo kwa mwezi ujue wengine huo ndo mshahara wetu mkuu
Wewe humiriki gari maana nasikia huku Kila mtu anagari.Kwa maisha ya sasa kulipia afu99 sio mchezo kwa mwezi ujue wengine huo ndo mshahara wetu mkuu
Hata DSTV ina channel ya TBC, wale ambao hatujalipia tunatiririka live na TBC bure kabisa kupitia DStvJf kila mtu ana dstv
Shughuli ukija kumuona live mtu mwenyewe
Kumbeee alaah sasa nimeelewaHata DSTV ina channel ya TBC, wale ambao hatujalipia tunatiririka live na TBC bure kabisa kupitia DStv
Kwanza wengine hata hizo TV kuangalia Mara chache sana mpira tunacheki barKweli kabisaa...mm sio kwamba siwezi kununua la,hasha nawaza hata nikinunua naangalia nini na saa ngapi...si napoteza hela yangu tuu na vifurushi vyenyewe beiiii
Comrade kwamba hujui lile jeep langu kweli?Wewe humiriki gari maana nasikia huku Kila mtu anagari.
Dah!...TBC
1. Inaumiza macho
2. Watu wapo kama wananyata
3. Haiko clear
Tafuteni hela aisee,, World Cup haionyeshwi Tibisii
Umeona sasa wacha tuangalie Tibisiii yetu ya bei nafuuKwanza wengine hata hizo TV kuangalia Mara chache sana mpira tunacheki bar
Hicho king'amuzi Mimi sijakiwasha muda kinoma
Tuwe wazalendooo!Umeona sasa wacha tuangalie Tibisiii yetu ya bei nafuu
Nimeambiwa hapa kumbe hata hao wenye dstv wanachek TBC maana ni bure ..Umeona sasa wacha tuangalie Tibisiii yetu ya bei nafuu
Haya mambo usichujulie sana serious.Kumbeee alaah sasa nimeelewa
Tulia mzee, mpira n burudani hvy n ruksa kuweka mbwembwe.Yule mpumba.vu sana, anatanguliza mapenzi anasahau hata miiko ya kazi yake.
Mkuu si lazima hicho, hata 23,000 unapata vitu vizuriKwa maisha ya sasa kulipia afu99 sio mchezo kwa mwezi ujue wengine huo ndo mshahara wetu mkuu
Hahahaaaa humu kila mtu tajiri bwashee..Jf kila mtu ana dstv
Shughuli ukija kumuona live mtu mwenyewe
Ila anajitahid sana.
Acha lawama...Sina chochote
Mi sijalipia DStv,game ya Croatia vs Argentina sijaona,kila nikiitafuta tbc sioni,mabwege wameitoa, Morocco nimeenda Banda umizaHata DSTV ina channel ya TBC, wale ambao hatujalipia tunatiririka live na TBC bure kabisa kupitia DStv