TBC watimuliwa mbio na CHADEMA baada ya kukata mara kwa mara matangazo ya uzinduzi wa kampeni Mbagala Zakhiem

TBC watimuliwa mbio na CHADEMA baada ya kukata mara kwa mara matangazo ya uzinduzi wa kampeni Mbagala Zakhiem

Status
Not open for further replies.
Ndio maana sielewi nnacho angalia hapa mwanzoni nilidhani ni Low Quality Coverage kumbe wana hujumu upinzani' Hii sio sawa kabisa aisee.
 
Kumbe TBC sio watu.

Walirusha picha chafu na mbaya kwa watanzania, asira za Chedema zilipanda juu kwa kasi ya ajabu.
Hii ilikuwa uzinduzi wa kampeni za urais Mh. Tundu Lisu Aug 28, 2020.

Maswali ya msingi.
2015 watu walijaa sana katika mikutano ya Chadema je. Walikuja wenyewe au waliwaleta kwa kuwabeba.

Kama walikuja wenyewe kwanini jana kule Zakhemu Mbagala watu hawakuja kama 2015 kwa Lisu? kwanini?

Kama waliwanunua kwanini jana hawakufanya hivyo kama kawaida yao? Maana uzinduzi wa kampeni wa Lisu ulikuwa kama wa diwani pale Mbagala.

Hii ni aibu katika medani za kisiasa kwani kuporomoka hivi inaonyesha kuwa hawana haja ya kuharibu pesa zao kwa kutafuta urais labda wajikite kutetea majimbo ya ubunge na kurudisha madiwani wao. Wataalam wa picha wanasema walikuwa watu 880 kadirio la juu.


1598715738760.png


Hii ilikuwa uzinduzi wa kampeni Oct, 2015 pale Jangwani.
Chadema ilizindua kampeni na mamilioni ya watu.

1598716111505.png



Huyu alikuwa kibwetele wa maisha yao hawakujua 2015
Kulikua hakuna sehemu ya kukanyaga vipi kwa Lisu, Watanzania kumbe nao siyo watu hata huruma tu mtu anatembea na risasi mwilini hawataki.
1598716777265.png



Hii ni jangwani 2015, kila mtu alijua CCM inaondoka, sasa hii ya Zakhiem mi sichangii.
1598716811680.png



Hii ni leo 29 Aug, 2020 kule Dodoma katika viwanja vya Jamuhuri
Mamilion ya watu wamemiminika. Na hilo likichwa unaloliona hapo ndiyo ambalo baadae wazungu watakuja kulichukua kama walivyo chukuwa fuvu la Mtemi Mkwawa wa Iringa kwenda kulipima kama hiyo miakili ilikaaje kaaje. Huyo ni noma jamani nadhani ni bora kumwacha apite ndiyo mje njifaye mnadindisha, maana ukisogeza ugoko yeye anasukuma jiwe.
1598716170298.png
 
Tbc toka lini wakawapenda wapinzani hawawezi fanya kazi bila maagizo
 
Watakuja na hoja za malori mara wasanii wanasahau hao wasanii ni wapiga kura wa ccm!
 
Kumbe TBC sio watu.
Walirusha picha chafu na mbaya kwa watanzania, asira za Chedema zilipanda juu kwa kasi ya ajabu.
Hii ilikuwa uzinduzi wa kampeni za urais Mh. Tundu Lisu Aug 28, 2020....

Hivi unajua maana ya mamilioni ya watu wewe?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom