TBC watimuliwa mbio na CHADEMA baada ya kukata mara kwa mara matangazo ya uzinduzi wa kampeni Mbagala Zakhiem

TBC watimuliwa mbio na CHADEMA baada ya kukata mara kwa mara matangazo ya uzinduzi wa kampeni Mbagala Zakhiem

Status
Not open for further replies.
Hizo ni mbwembwe za kurusha mtangazo ya live 🎥 sio hujuma...kitaaalamu inaitwa "mute🔇,cut🔌&action🎬" 😎😎😎
 
Waondoke tu, watanzania wana hasira na hichi chombo na ccm
 
Chadema wanawatoa TBC kwenye viwanja vya umma kama nani?

Chadema wana milki au mamlaka yoyote kwenye hivyo viwanja?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom