Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
hawana maana hapo watuwacheFukuzeni hao vibaraka wa CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawana maana hapo watuwacheFukuzeni hao vibaraka wa CCM
Bora kuwafukuzaChadema sisi huku tunaoangalia mkutano wenu hatuwasikii badala yake tunawasikia watangazaji wa TBC 1 wakituhutubia! Waondoeni hapo uwanjani ili wasijijengee sifa kuwa waliutangaza mkutano wenu.
Mbona Mkapa alisema wapumbavu, mafala 2015?Chadema wanahamsisha vurugu. Huwezi kusema watanzania ni wapumbavu kisa tu wanatii mamlaka iliyopo.
Nilikuwa nina mashaka sana kama TBC wataweza kuvumilia na kuruhusu maneno machungu yatakapokuwa yanatolewa, bahati mbaya hofu yangu imekua kweli...
Yaani acha tu,nimerudi TBC nakuta watangazaji ndo wanaongea,najiuliza kesho Magufuli akiwa anaongea watafanya hivi hivi?
Hahaha! Watangazaji wanaitumia "live coverage" kama fursa ya kujitangaza. Wanasikika wao tu! Duh!Yaani acha tu,nimerudi TBC nakuta watangazaji ndo wanaongea,najiuliza kesho Magufuli akiwa anaongea watafanya hivi hivi?
Chadema wanahamsisha vurugu. Huwezi kusema watanzania ni wapumbavu kisa tu wanatii mamlaka iliyopo.Wanazingua sana,nimehamia mwanahalisi TV. Angalia mwanahalisi TV
Hakuhamasisha vurugu. Na wewe mwenyewe umeona wote wamerudi CcmMbona Mkapa alisema wapumbavu,mafala 2015?
Kwani wanalipwa na CCM??Acheni viherehere mshahara mnawalipa nyinyi
Elizabeth MrambaHuyu Mrembo Wa TBC Anaitwa Nani?
Mdada leo kazi unayo!
Leo ni Pressure Juu ya Pressure...Chakula hakitalika Leo..
Utafikiri walilazimishwa. Si waweke matangazo mengine tu tujue moja. Hopeless kabisa!!Kinachofanyika ni kwamba muongeaji akianzankuigusa Serikali na taasisi zake wao wanazima matangazo na watangazaji kujitia waongeaji na wachambuzi.
Hili nililitegemea.
MkuuKinachofanyika ni kwamba muongeaji akianzankuigusa Serikali na taasisi zake wao wanazima matangazo na watangazaji kujitia waongeaji na wachambuzi.
Hili nililitegemea.
Wanazingua sana,nimehamia mwanahalisi TV. Angalia mwanahalisi TV