TBC watimuliwa mbio na CHADEMA baada ya kukata mara kwa mara matangazo ya uzinduzi wa kampeni Mbagala Zakhiem

TBC watimuliwa mbio na CHADEMA baada ya kukata mara kwa mara matangazo ya uzinduzi wa kampeni Mbagala Zakhiem

Status
Not open for further replies.
Naangalia TBC 1 hapa.
1.Wanakatakata matangazo ya live kutoka Mbagala.
2.Wanaongea pointless watangazaji wao hapo studio.
3.Wanaonyesha vitoto vidogo vilivyopo mkutanoni.

My take: Chadema wasirudie kuiruhusu TBC 1 kurusha matangazo yao.
TBC wamepanic hahaha
 
TBC kwa maksudi kabisa wanahujumu matangazo ya moja kwa moja ya uzinduzi wa kampeni za urais wa CHADEMA. Mgombea ubunge wa Ilala na Lema walipoanza kushusha nondo tbc wakawa wanajifanya kuanza kujiongelesha ili watazamaji wasisikie kinachoongelewa. Mgombea wa Ilala alianza kumwongelea Magufuli tbc wakajifanya wanajadili. Lema alipoanza kuelezea nchi inaongozwa kama gheto tbc wakahamisha tena.

Saivi mbowe kaingia wameanza kuongea utumbo wao.
 
Kinachofanyika ni kwamba muongeaji akianzankuigusa Serikali na taasisi zake wao wanazima matangazo na watangazaji kujitia waongeaji na wachambuzi.

Hili nililitegemea.
Sasa hivi mbowe anaongea wamekata Tena
 
Kinachofanyika ni kwamba muongeaji akianzankuigusa Serikali na taasisi zake wao wanazima matangazo na watangazaji kujitia waongeaji na wachambuzi.

Hili nililitegemea.
Poor Chadema! Tulioona mbali mapema tuliwashauri muanzishe Tv na redio yenu angalau kwa ajili ya kampeni mkatupuuza. Angalia leo mnaotegemea wawarushe mubashara wanarusha uchambuzi. I feel sorry for you people.
 
Huyu Mrembo Wa TBC Anaitwa nani?

Mdada leo kazi unayo!

Leo ni Pressure Juu ya Pressure...Chakula hakitalika Leo..
 
Kinachofanyika ni kwamba muongeaji akianzankuigusa Serikali na taasisi zake wao wanazima matangazo na watangazaji kujitia waongeaji na wachambuzi.

Hili nililitegemea.
Wapuuzi sana yaani Godbless Lema alivyoanza kupiga spana wakaanza na uchambuzi wao wa kipumbavu, nimetafuta link ya chadema ambapo hakuna kukatakata.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom