TBC yakata matangazo wakati majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na uchukuzi, nini kinafichwa?

TBC yakata matangazo wakati majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na uchukuzi, nini kinafichwa?

Kuna bedui mmoja alikwapua karibu nusu ya hiyo bajeti ya wizara ya ujenzi na uchukuzi na msisahau wakati huo bunge halikuwahi kuoneshwa live.
 
Yeye pia nimeona kawapa watu mabango mitandaoni wamsifie. Mawaziri sijui wana shida gani kwa sasa
 
SHIRIKA la Utangazaji Tanzania TBC limekata matangazo ya Bunge wakati wabunge wakijadili Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ambapo Waziri wa Ujenzi, Prof. Makame Mbarawa amesema katika mwaka wa fedha2023/24, Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi inaomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi 3,554,783,957,000.00. Kati ya fedha hizo, Shilingi1,468,238,449,000.00 ni kwa ajili ya Sekta ya Ujenzina Shilingi 2,086,545,508,000.00 ni kwa ajili yaSekta ya Uchukuzi.

Swali inakuwaje bajeti ya Trilioni 3.5 inapitishwa bungeni bila wananchi kujua ina mambo gani ndani yake na kwanini ifichwe badala yake TBC imekwenda kujiunga na matangazo ya moja kwa moja Arusha ya ufungaji wa maonyesho ya elimu ya ufundi.

KULIKONI?

wanaratiba nyingine hata hivyo wananchi hatuna interest na hilo bunge na mabajeti yao kwani yako kuongeza matozo tu.
 
Chombo cha umma to what extent? Maana wanachoonyesha Arusha pia ni issue za umma! Mara ngapi wamekata matangazo ya bunge kuonyesha shughuli nyingine? Majuzi hapa walikata kuonyesha Makamu wa Rais akifungua Barabara huko Arusha. Mbona hukuweka uzi?
Mkuu mhurumie tu, majibu ya mantiki hapo kaaaamwe hayatopatikana abadan. Anaandaa mazingira kwa haters wenzake wa awamu hii ili waendelee na ule mjadala wao pendwa unaowapa faraja, 'awamu ya wapigaji/wahuni' n.k. na mwishoni mjadala lazima uishe kwa kutukamwa makamba, nape na mwigulu.
 
Ooh..then I rest my case. But spreading misinformation is not healthy.
 
Back
Top Bottom