Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Nikiona hilo neno TBC 1 huwa napata kichefuchefu halafu sijui hata kwa nini!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijafurahishwa,ina maana Televisheni nyingine hazitaonyeshaMichuano ya kombe la dunia itarushwa live kupitia chanell ya taifa kwa kushirikiana na TV1...
Nani kafurahishwa na hili[emoji41] [emoji41]
Michuano ya kombe la dunia itarushwa live kupitia chanell ya taifa kwa kushirikiana na TV1...
Nani kafurahishwa na hili[emoji41] [emoji41]
Kumbe live inawezekana tena bure....nlikua sijaelewaga!Sijafurahishwa,ina maana Televisheni nyingine hazitaonyesha
Live afu buuuure kua inawezekana ndo nlkua sijui km wanaweza fanyaTabia gani hiyo ambayo TBC wamekushinda?
Hahahaaaaa......afu kumbe wanweza kurusha live afu bureee...akat huku wananchi tumenyimwa bure kumuona ndugai akisoma bajetiNimeangalia kidogo Mara mtangazaji anaongea sauti hakuna argh
Hapo thathaBunge live No