Ally maganga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,433
- 913
zile radha za mwl kashasha sasa live...
Kule mzee wa historia huku mzee wa ufundi uwanjani.
Kule mzee wa historia huku mzee wa ufundi uwanjani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nataka warushe Bunge tu, world cup na dstv apa inanitosha.
Mkuu bado haijulikani labda tusubiri ZBC 2Wadau kwani azam tv hawataonyesha?
We jamaa mbavu zanguHahahaha
Rais kapiga Ziara ya kustukiza Bandari wakuache unaangalia Uruguay vs Paraguay hahaha
Greyson Msigwa atatinga Studio Na bodaboda
Lakini bunge Live eti hawataki kurusha, inakuwaje warushe michuano inayofanyika Russia washindwe na bunge la Dodoma.Kumbe live inawezekana tena bure....nlikua sijaelewaga!
Bunge live vipi ??Michuano ya kombe la dunia itarushwa live kupitia chanell ya taifa kwa kushirikiana na TV1...
Nani kafurahishwa na hili[emoji41] [emoji41]
TBC1 itaonesha bure michuano ya kandanda ya Kombe la Dunia. Michuano hiyo itakayofanyika nchini Rusia itafanyika kwa muda wa mwezi mzima kuanzia tarehe 14 mwezi Juni mpaka tarehe 14 Julai 2018. Serikali kupitia luninga yake ya TBC1 kwa kushirikiana na luninga ya TV1 itaonesha matangazo hayo na kuwa serikali ya kwanza kusini mwa jangwa la Sahara kurusha bure matangazo ya michezo hiyo inayopendwa mno na zaidi ya watu bilioni nne duniani.
Hayo yamejulikana leo hii wakati wa uzinduzi rasmi wa matangazo hayo ambapo mgeni rasmi alikuwa msanii Ali Kiba. Pia katika hafla hiyo alikuwepo waziri michezo Daktari Harrison Mwakembe na mkurugenzi mkuu wa TBC Daktari Ayoub Rioba na wakurungezi wa TVI.
Kwa kweli serikali hii itakuwa inaendelea kutimiza lengo lake la kuwatumikia watanzania walio wanyonge.
Hongera Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Daktari John Magufuli.
Bunge live hakuna wadhamini ila WC wadhamini watakuwa wengiUkiwaambia waonyeshe bunge Live wanakwambia gharama kubwa. Kweli hii ni Serikali ya wanyonge
tukutane central mkuuHamna shida mm nitaangalia tu Supersport Tbc1 siwezi angalia labda waanze kuonesha X
pumbavu kabisa..tatizo lako umeangalia leo yako bila kuangalia kesho yako ,ya mtoto wako ,ya mjukuu wako na hata ya kitukuu chako....Aksante Ndugu Rais
Nimeokoa Laki Na elf 9 kwenda kuwalipa Mabepari Na Majambazi wa DSTV
Ingekuwa amri yangu Magu angetawala mpaka afikie Umri wa Mzee Ruksa
Hujalazimishwaa kuwa nayo watu wengine bwana ukute hata hunaAksante Ndugu Rais
Nimeokoa Laki Na elf 9 kwenda kuwalipa Mabepari Na Majambazi wa DSTV
Ingekuwa amri yangu Magu angetawala mpaka afikie Umri wa Mzee Ruksa
Ni mchambuzi mzuri sana ila apunguze KonyagiTBC 1 na TV 1 watakuwa live bila chenga mechi zote 32 mtaziona bure kabisa bila kulipia chochote. Dr Leakey na Mwl Kashasha watakuwepo.
Full burudani
Karibuni sana Russia world cup 2018
Mie nimejizungumzia Mimi binafsi Sasa povu kwako la nini?Hujalazimishwaa kuwa nayo watu wengine bwana ukute hata huna
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hamna shida mm nitaangalia tu Supersport Tbc1 siwezi angalia labda waanze kuonesha X
Sis na urusi tunapishana masaa mangapi ?Mie nimejizungumzia Mimi binafsi Sasa povu kwako la nini?