gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,048
HahahahaHamna shida mm nitaangalia tu Supersport Tbc1 siwezi angalia labda waanze kuonesha X
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaHamna shida mm nitaangalia tu Supersport Tbc1 siwezi angalia labda waanze kuonesha X
Dah, hapo wamegonga penyewe. Dr. Leakey akivunja vunja historia ya kila timu upande wa matukio, mchezaji na timu kwa jumla na Mwl. Kashasha akitoa tactical explanation ya michezo! Hapo patamu sana. I can't wait to get my ass glued on TBC1.TBC 1 na TV 1 watakuwa live bila chenga mechi zote 32 mtaziona bure kabisa bila kulipia chochote. Dr Leakey na Mwl Kashasha watakuwepo.
Full burudani
Karibuni sana Russia world cup 2018
Hata Azam pay tv, Tbc1 ni bure. Kama hauna salio hii huwa inaonyesha.Aiseeee bureeeeeee kabisa kama unatumia startime
Zote, zingine zitakuwa recorded sababu zitakuwa simulteneously!Mechi zote 32..... Kuwa serious basi jamaa
Pvmba tupu umeandika.Hawa watu wa ajabu sana. Juzi tuu kulikuwa na mashindano ya Jumuia ya madola ambayo kuna wawakilishi wetu tulitakiwa tuwaone ili tujitathmini kuna mapungufu gani ili tujirekebishe lakini hakuna Tv hata moja iliyoonyesha mashindano hayo. Sasa haya ambayo hakuna hata mwakilishi hata mmoja kutoka afrkia mashariki ndio wanajua kuna michezo??? Mimi kuanzia leo nazima TV ili nipeleke ujumbe wa kupinga jinsi tunavyogandamiza michezo mingine ambayo sii soka na kushadadia soka hata kama hatunma washiriki.
Sababu ni inakupa ujauzito.Nikiona hilo neno TBC 1 huwa napata kichefuchefu halafu sijui hata kwa nini!!
Poor Limited mind!......kwa hiyo kwa akili yako hiyo kinachoweza kusababisha kichefuchefu ni mimba pekee??!Sababu ni inakupa ujauzito.
TBC 1 na TV 1 watakuwa live bila chenga mechi zote 32 mtaziona bure kabisa bila kulipia chochote. Dr Leakey na Mwl Kashasha watakuwepo.
Full burudani
Karibuni sana Russia world cup 2018
SureTatizo hawakawii kukatisha matangazo ya mpira na kujiunga live airport kwenye mapokezi ya kumpokea rais wa Uganda au burundi
Moscow tupo nao sawa mzeeSis na urusi tunapishana masaa mangapi ?
Ni lini uliwahi kulipia world cup hapa bongo?mechi 32 tu vya bure havijawahi timiza kiu hata Siku moja.