TBC1 kushirikiana na TV1, Kuonesha Bure Kombe la Dunia Russia 2018

TBC1 kushirikiana na TV1, Kuonesha Bure Kombe la Dunia Russia 2018

TBC 1 na TV 1 watakuwa live bila chenga mechi zote 32 mtaziona bure kabisa bila kulipia chochote. Dr Leakey na Mwl Kashasha watakuwepo.

Full burudani

Karibuni sana Russia world cup 2018
Dah, hapo wamegonga penyewe. Dr. Leakey akivunja vunja historia ya kila timu upande wa matukio, mchezaji na timu kwa jumla na Mwl. Kashasha akitoa tactical explanation ya michezo! Hapo patamu sana. I can't wait to get my ass glued on TBC1.
 
Hawa watu wa ajabu sana. Juzi tuu kulikuwa na mashindano ya Jumuia ya madola ambayo kuna wawakilishi wetu tulitakiwa tuwaone ili tujitathmini kuna mapungufu gani ili tujirekebishe lakini hakuna Tv hata moja iliyoonyesha mashindano hayo. Sasa haya ambayo hakuna hata mwakilishi hata mmoja kutoka afrkia mashariki ndio wanajua kuna michezo??? Mimi kuanzia leo nazima TV ili nipeleke ujumbe wa kupinga jinsi tunavyogandamiza michezo mingine ambayo sii soka na kushadadia soka hata kama hatunma washiriki.
Pvmba tupu umeandika.
 
Ila pia kwa upande mwingine TBC1 wameharibu, kwa wenza wetu sasa hatuna kisingizio cha kuwapa, sababu kama eti oooh, leo nitachelewa kurudi naangalia mechi huku...kumbe uko kwenye yale mambo!!
Watatutuliza home tuangalie nao sababu wanajua tbc1 iko laivu hata kama haijalipiwa, hapa inabidi tuziharibu kabisa Tv mapema ili tupate visingizio NI TV YENYEWE NDIO MBOVU SIO KING'AMUZI.
Hapa wamebugi sasa.
 
Ila kukiwa na ishu za msingi za Taifa itabidi watazamaji wa Tbc muwe wavumilivu hata kama ni nusu fainali inachezwa maana hawataaonesha...bora za kulipia tu kuliko bure maana utapangiwa tu hilo halina namna.
 
TBC 1 na TV 1 watakuwa live bila chenga mechi zote 32 mtaziona bure kabisa bila kulipia chochote. Dr Leakey na Mwl Kashasha watakuwepo.

Full burudani

Karibuni sana Russia world cup 2018
 
Mmhhh...TBC nao watu wakuwaamini!!!

Game inaweza kuwa dkk ya 75,wanakatisha ati kipindi maalum au wanaweka bango...mwendo wa dstv tu
 
Back
Top Bottom