ataifa gani hayaonyeshi live achene ushamba if you are not informed just shutup don't tell liesMambo ya bunge live ni kuleta uchochezi tu,ndo maana hata mataifa makubwa yenye democracy kubwa kuliko sisi hakuna mambo ya bunge live,
jk alitudekeza sana,,sasa hivi NI KAZI TU
Hakuna anaelia ila watu tunasikitika kwsbb wanashindwa kufikiria. Km unaweza kuiachia TBC2 inagonga mziki 24/7 mwaka mzima halaf bunge linaloitaji wiki mbili unashindwa kurusha live. Kama ni kupunguza gharama wazime TBC2Mlishaambiwa na Kikwete kuwa Magufuli ni mkali. Sasa mnaia lia ini?
nilijipanga kuanza kuona point za lissu,mnyika,zitto ,mdee,waitara juakali mbowe na wengine wa upinzan lakin habr itachujwa watanipa za vilaza wao shame on serikaliJust wait, some few days to come nchi hii itakuwa na utawala kama wa Idd Amin Dada
Mhhhhh,,,...anayeharibu 'image' ya JPM Mr. Chamaeleonidae