TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

Kama uandishi wenyewe uko kaput kiasi hicho hata hiyo maudhui sidhani kama itasalimika
 
Kiukweli baa za dodoma zinafurika kuanzia asubuhi kwa madoja wa vipindi vya bunge
 
UKAWA wataendelea kung'ara bungeni na kuungwa mkono na wananchi. Hii inatokana na ukweli kwamba, waliopewa dhamana kuongoza serikali ya CCM wana uwezo mdogo sana wa uelewa wa kanuni na sheria mbalimbali zihusuzo mambo ya bunge kwa mfano hivi majuzi, waziri wa fedha anashindwa kuwasilisha mpango wa maendeleo wa miaka mitano badala yake analeta MUUNDO wa mpango huo na hapo hapo AKAPIGWA na Zitto Kabwe kitu kilichopelekea waziri mwenyewe (Dr. Mpango) na serikali yake kuambulia aibu.
 
Nakufananisha na aliyeukumiwa kifungo jera halafu yeye anafirahi eti atakula bure na kulala bure,anawaaga rafiki zake kwa kicheko
 
Mtoa Post si kwa7bu hii?
 

Attachments

  • 1454219498757.jpg
    33.9 KB · Views: 27
Kwahiyo Nape ni bingwa wa kushika pabaya,labda mleta uzi utufafanulie za jinsia gani anapendelea?
 
Source Yenyewe Ni Kijiwe Chako Cha Kuvuta Sigara Bwege Na Ngada!!!! Hapo Ni Sawa!!
 
Kilaza ni kilaza tu ngoja tuheshimu mda uliotumia kuandika utumbo
 
Jina lako ni "naliwe au nal.wa"?
 
Kiukweli baa za dodoma zinafurika kuanzia asubuhi kwa madoja wa vipindi vya bunge
HAWAKUSHINDI Ww Kwa Huo UDOJA Wako!!! KAMA Ungekuwa Una KAZI Ya Kufanya Ungepataje Muda Wa KUTOA Huo Upuuzi Humu!!!!?
 
Ikiwahii ndiyo sababu ya serikali kusitisha hayo matangazo basi ina kasoro kubwa (pengine ndiyo maana haikuwa moja ya sababu walizotaja). Huwezi kuwanyima wananchi taarifa hati kwa sababu mwenzio atapata umaarufu. Pili hivi kweli watanzani ni mbumbumbu kiasi hicho kutotofautisha drama/maigizo na ukweli?
 
Kumbe unajijua kuwa wewe ni Nyumbu, sasa unalialia nini pumbavu & lofa
NDAGA NA SIGARA BWEGE ZIKO KAZINI!!!! Kwa Hilo La Kusoma VITU VISIVYO Na Miongozo Ya Kisheria Na Kanuni Bungeni!!!! HATA Wajaribu Kuficha Vp, Huo Upuuzi Wa SERIKALI Yenu!!! WATANZANIA Wataona, Watasikia Na Kujua Tu Kila Kitu!!!! KWA Vile Ni MISUKULE, Mnadhani Hilo Mmefanikiwa Kuwazuia Watanzania Kujua Upuuzi Wenu!!!!
 
Avatar inasomeka naliwa, inawezekana wewe ukawa unata..funwa
 
Hao wanajuana wenyewe,sioni faida wala hasara yeyote kwa sisi wananchi kuonyeshwa au kutoonyeshwa hilo bunge live.
 


Kama hayo ni maw@zo ya serikali na CCM basi nchi yetu imetumbukia shimoni kwa kuongozwa na vilaza , titajuta na kukumbuka tunakotoka.

Watu kama Naliwa ni product elimu yetu
 
Big up Chenge....sisi tunakuaminia.Mwingine ni Bashe,tunaamini umesamehe lakini hujasahau.Membe anafuatia yuko pia January ambaye uwezo wake unajulikana kabisa kufuatia uzoefu wa miaka kadha.
 
Serikali yenyewe unayoisifia ni ipi? Ni hii ambayo haijui hata mipango inaandaliwaje!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…