TBS Bandarini kichaka cha upigaji

TBS Bandarini kichaka cha upigaji

Aliye leta huu mfumo sijui alikusudia nini. Kuna nchi zina wakaguzi waoJapan ambapo ndipo asilimia kubwa ya magari hutoka. Mfano Intertek Mozambique. Kama serikali ilikusudia kujipatia mapato makubwa ya ada za ukaguzi, basi wangepeleka wataalam wake huko waweke center zao za ukaguzi. Gari ikikaguliwa kulekule ika fail inspection mteja unakua na option ya kuchagua gari nyingine, ikikaguliwa hapa nchini ika fail inspection inakulazimu tuu utoe rushwa ili upewe gari yako
Marwhwmu huyo ndie alileta huu mfumo
 
Ukaguzi wa magari (imported) Sasa unafanyika nchini tofauti na mwanzoni. Sasa Hawa ndugu zetu wameamua kucheza na beat ili kuvuna. Inspection tests (report) zinaandikwa"FAIL" ili ujiongeze, ukijidai Nunda yatakukumba ya Kwa msisi. Asanteni, ila mtafika mkiwa mmechoka sana
Watu wanatumia Fursaaaaa
 
1638006971_1638006971-picsay.jpg
 
Hii nchi ni kitu cha ajabu sana, inaenda kwa mfano wa tamaa za watu na si utaratibu wa watu, ila iko siku mambo yatakaa tu
 
Aliye leta huu mfumo sijui alikusudia nini. Kuna nchi zina wakaguzi waoJapan ambapo ndipo asilimia kubwa ya magari hutoka. Mfano Intertek Mozambique. Kama serikali ilikusudia kujipatia mapato makubwa ya ada za ukaguzi, basi wangepeleka wataalam wake huko waweke center zao za ukaguzi. Gari ikikaguliwa kulekule ika fail inspection mteja unakua na option ya kuchagua gari nyingine, ikikaguliwa hapa nchini ika fail inspection inakulazimu tuu utoe rushwa ili upewe gari yako
Magufuli huyo! Mzee alikuwa shetani kabisa!
 
Back
Top Bottom