TBS hamuoni mabati ya rangi yanavyopauka ndani ya muda mfupi? Standard hamna?

man dunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,870
Reaction score
6,871
Unanunua bati lililopakwa rangi lakini ndani ya muda mfupi lishapauka vibaya. Sisi wananchi hatuwezi kutambua kwa kuona mabati ya rangi original.Wala bei sio kigezo cha kujua kwamba haya mabati ya rangi ni original au fake.

Kampuni zote zikitengeneza mabati ya rangi zinatakiwa zifuate standard ya coating bila kujali kampuni itauza hayo mabati bei gani. Coating inatakiwa ya kudumu kwa miaka mingi angalau miaka 20 .Sokoni yanatakiwa yawepo mabati original yenye rangi na mabati original yasio na rangi.Kuhusu bei kila mmoja atanunua kutokana na uwezo wake.
 
Hakuna uwajibikaji
 
✅️
 
Back
Top Bottom