Watafanya na uharibifu pia na wizi pengineShida sio ukaguzi maana hata kabla magari yalikuwa yanakaguliwa kabla ya kuwa shipped. Tatizo litakuwa ukiritimba, lazima kubambikiwa, kulipishwa X2 na kucheleweshewa huduma vitakuwa vipaumbele vyao.
Tutaona!
Wafunguwe na maduka ya spear part
Hilo wazo linawafaa sana wale mikataba yao inayoisha February 28 kule Dubai na Japan😥😥Wafunguwe na maduka ya spear part
Panga Pangua, Anzisha, Bomoa, kila siku ni kubadilisha badilisha
Ni hapo tutakapojikuta tunalipa mara 3 ya gharama za Jp!Mi sioni cha ajabu hapa.
Kwa kuwa, hata sasa hivi ukiagiza gari kutoka Japan, lazima likaguliwe, na utalipia gharama ya kukaguliwa na kampuni ambayo imepata kibali kutoka Tanzania. Tena unalipa kwa $ kati $100 hadi $300 kama mdau alivyosema hapo juu.
Kilichobadilika ni kuwa badala ya kulipia na kukaguliwa Japan, sasa utalipia na kukaguliwa hapa.
Mi naona ni jambo nzuri. Kwanini tuiingizie hela ya ukaguzi Japan badala ya hiyo hela ibaki Tanzania?
Kwanini uangaike ku badilisha hela ya TSh kwenda $ kwa ajili ya kulipia ukaguzi Japan ambapo $ ni gharama badala ya kulipia kwa TSh?
Hawa spear part watapata wapi hawa TBS? Wasije Kuambia break pard za ist unatakiwa ufunge za laki 3! WesubiriHilo wazo linawafaa sana wale mikataba yao inayoisha February 28 kule Dubai na Japan😥😥
Good point!!Mi sioni cha ajabu hapa.
Kwa kuwa, hata sasa hivi ukiagiza gari kutoka Japan, lazima likaguliwe, na utalipia gharama ya kukaguliwa na kampuni ambayo imepata kibali kutoka Tanzania. Tena unalipa kwa $ kati $100 hadi $300 kama mdau alivyosema hapo juu.
Kilichobadilika ni kuwa badala ya kulipia na kukaguliwa Japan, sasa utalipia na kukaguliwa hapa.
Mi naona ni jambo nzuri. Kwanini tuiingizie hela ya ukaguzi Japan badala ya hiyo hela ibaki Tanzania?
Kwanini uangaike ku badilisha hela ya TSh kwenda $ kwa ajili ya kulipia ukaguzi Japan ambapo $ ni gharama badala ya kulipia kwa TSh?
Mimi nitabaki wa uber tuu na miguu yangu. Mkinikuta msininyime lift☺☺Hawa spear part watapata wapi hawa TBS? Wasije Kuambia break pard za ist unatakiwa ufunge za laki 3! Wesubiri
Nunueni magari brand new mbona zamani tz miaka ya 70,80 magari yalikuwa yanakuja mapya kabisa tena brand za peugeot,renault,ford etcMimi nitabaki wa uber tuu na miguu yangu. Mkinikuta msininyime lift[emoji5][emoji5]
Madereva wa TBS sio?  kwenye chakula wamoo, kwenye madawa wamoo, kwenye vifungashio wamoo, kwenye maji wamoo, kwenye chemical wamoo, kwenye magari wamoo, hawa sio watu ni mashetani pengine🙆Mimi nitabaki wa uber tuu na miguu yangu. Mkinikuta msininyime lift☺☺
Hiyo gari itakua imetoka Singapore,Kwa Japan ilikua huhitaji ukaguziNina mwanangu aliagiza gari hakukagua huko JP. Hatari na nusu.
Gari ikafika wakaenda kukagua NIT gharama knm. Hafu ukirudishwa ni gharama zako kutengeneza. Unaweza kuta ukatumia Million kimasihara hivi hivi.
itapunguza hamtolipa hela ya kigeni ile laki 7 badala yake mtalipishwa maybe 1- 2 lakhs onlyJe hii itaongeza maumvu kwa walala hoi au kupunguza?
Kwani landrover 109 ni rahisi kukagua ?Mara paap TBS wanapeleka magari kukaguliwa temesa ambao hata kukagua landrover 109 hawawezi
😥😥😥😥😥😥Madereva wa TBS sio?  kwenye chakula wamoo, kwenye madawa wamoo, kwenye vifungashio wamoo, kwenye maji wamoo, kwenye chemical wamoo, kwenye magari wamoo, hawa sio watu ni mashetani pengine🙆