dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
... hao TBS wana utaalamu wa kukagua magari ya aina zote yanayotengenezwa duniani? Kwanini wenye utaalamu wa specific magari wasiachiwe kazi hiyo? Nachokiona hapa magari yatazidi kuharibiwa tofauti na hali yaliyokuja nayo.Shida sio ukaguzi maana hata kabla magari yalikuwa yanakaguliwa kabla ya kuwa shipped. Tatizo litakuwa ukiritimba, lazima kubambikiwa, kulipishwa X2 na kucheleweshewa huduma vitakuwa vipaumbele vyao.
Tutaona!
By the way, sijawahi kukutana na hii scenario; kwa ukaguzi unaofanyika huko Japan, ikitokea gari haija-meet vigezo baada ya ukaguzi kinafuata nini? Mteja anatuma tena hela ya matengenezo au inakuwaje? Maana kwa huu ukaguzi wa shithole, naona kabisa wateja wakilipa gharama kubwa za matengenezo kwa kinachoitwa "gari halijakidhi vigezo" ili tu watu wapige pesa!