Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tushukuru Mungu hata hayo magari yanakaguliwa Dar, kama ingeamriwa yakakaguliwe Chato tungesema nini?Sijui tumefika namba ngapi saivi ktk kuisoma #
Wenzetu walifanya hii kazi kitambo sana!Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linawataarifu waagizaji na wauzaji wa magari kutoka nje ya nchi kuwa kuanzia tarehe 01 mwezi Machi, 2021, utaratibu wa kukagua magarikutoka nje ya nchi utafanyika baada ya kuwasili hapa nchini (Destination Inspection). Hivyo,magari yote yatakayosafirishwa kuanzia tarehe tajwa hapo juu yatakaguliwa katika bandari yaDar-es-Salaam.
Kwa sasa TBS inakagua magari kutoka nje ya nchi kupitia mawakala watatu(3) kutoka Japan na mmoja(1) kutoka Dubai ambao mikataba yao itakoma hivi karibuni.
Hivyo vyeti vya ukaguzi vitakavyotolewa na mawakala tajwa kwa magari yatakayosafirishwa kuanzia tarehe 01 mwezi Machi, 2021 havitatambulika na TBS.
Aidha,magari yatakayopimwa bandarini na kutokidhi matakwa ya kiwango yatahitaji kufanyiwa matengenezo nje ya bandari na kisha kuletwa na kupimwa tena kwenye yadi ya UDA mkabala na Bandari ya Dar es salaam.
Shirika litaendelea kuhakikisha kuwa magari yote yaliyotumika nakuingizwa nchini yanakidhi matakwa ya kiwango cha magari yaliyotumika.
Kwa taarifa zaidi kuhusu utaratibu huu mpyausisite kuwasiliana na:-
Mkurugenzi Mkuu,
Shirika la Viwango Tanzania (TBS),
SLP 9524,
Dar es Salaam.
View attachment 1682017
Mmejipanga vipi kuhusu kudhibiti rushwa?Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linawataarifu waagizaji na wauzaji wa magari kutoka nje ya nchi kuwa kuanzia tarehe 01 mwezi Machi, 2021, utaratibu wa kukagua magarikutoka nje ya nchi utafanyika baada ya kuwasili hapa nchini (Destination Inspection). Hivyo,magari yote yatakayosafirishwa kuanzia tarehe tajwa hapo juu yatakaguliwa katika bandari yaDar-es-Salaam.
Kwa sasa TBS inakagua magari kutoka nje ya nchi kupitia mawakala watatu(3) kutoka Japan na mmoja(1) kutoka Dubai ambao mikataba yao itakoma hivi karibuni.
Hivyo vyeti vya ukaguzi vitakavyotolewa na mawakala tajwa kwa magari yatakayosafirishwa kuanzia tarehe 01 mwezi Machi, 2021 havitatambulika na TBS.
Aidha,magari yatakayopimwa bandarini na kutokidhi matakwa ya kiwango yatahitaji kufanyiwa matengenezo nje ya bandari na kisha kuletwa na kupimwa tena kwenye yadi ya UDA mkabala na Bandari ya Dar es salaam.
Shirika litaendelea kuhakikisha kuwa magari yote yaliyotumika nakuingizwa nchini yanakidhi matakwa ya kiwango cha magari yaliyotumika.
Kwa taarifa zaidi kuhusu utaratibu huu mpyausisite kuwasiliana na:-
Mkurugenzi Mkuu,
Shirika la Viwango Tanzania (TBS),
SLP 9524,
Dar es Salaam.
View attachment 1682017
Sio hivyo tu, kutakuwa na ukiritimba , rushwa na wizi wa vifaa vya magari.Sema itasababisha msongamano mkubwa na hivyo kuchelewesha clearance ya magari
Kaka kutakuwa na usumbufu mkubwa sanaSio hivyo tu, kutakuwa na ukiritimba , rushwa na wizi wa vifaa vya magari.
Ninachoshindwa kuelewa, je hawa waliotoa huu uamuzi sasa hivi, walifanya utafiti kwanini wenzao waliamua hivyo? Wao wamerekebisha nini kuepukana na hizo challenge. Au mradi tu umechaguliwa unabadiri badiri taratibu ili boss wako akuone unafanya jambo la kizalendo bila kuwa na research.
Mwisho wa siku watarudi kulele pamoja na kutumbuliwa... mark my words.
Naombeni kazi kwenye kitengo hiki, mimi ni proffessional Auto electric engeneerAidha,magari yatakayopimwa bandarini na kutokidhi matakwa ya kiwango yatahitaji kufanyiwa matengenezo nje ya bandari na kisha kuletwa na kupimwa tena kwenye yadi ya UDA mkabala na Bandari ya Dar es salaam.