TBS: Kuanzia 01 Machi 2021, utaratibu wa kukagua magari kutoka nje ya nchi, utafanyikia hapa nchini

TBS: Kuanzia 01 Machi 2021, utaratibu wa kukagua magari kutoka nje ya nchi, utafanyikia hapa nchini

Sijui tumefika namba ngapi saivi ktk kuisoma #
 
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linawataarifu waagizaji na wauzaji wa magari kutoka nje ya nchi kuwa kuanzia tarehe 01 mwezi Machi, 2021, utaratibu wa kukagua magarikutoka nje ya nchi utafanyika baada ya kuwasili hapa nchini (Destination Inspection). Hivyo,magari yote yatakayosafirishwa kuanzia tarehe tajwa hapo juu yatakaguliwa katika bandari yaDar-es-Salaam.

Kwa sasa TBS inakagua magari kutoka nje ya nchi kupitia mawakala watatu(3) kutoka Japan na mmoja(1) kutoka Dubai ambao mikataba yao itakoma hivi karibuni.

Hivyo vyeti vya ukaguzi vitakavyotolewa na mawakala tajwa kwa magari yatakayosafirishwa kuanzia tarehe 01 mwezi Machi, 2021 havitatambulika na TBS.

Aidha,magari yatakayopimwa bandarini na kutokidhi matakwa ya kiwango yatahitaji kufanyiwa matengenezo nje ya bandari na kisha kuletwa na kupimwa tena kwenye yadi ya UDA mkabala na Bandari ya Dar es salaam.

Shirika litaendelea kuhakikisha kuwa magari yote yaliyotumika nakuingizwa nchini yanakidhi matakwa ya kiwango cha magari yaliyotumika.

Kwa taarifa zaidi kuhusu utaratibu huu mpyausisite kuwasiliana na:-

Mkurugenzi Mkuu,

Shirika la Viwango Tanzania (TBS),

SLP 9524,

Dar es Salaam.

View attachment 1682017
Wenzetu walifanya hii kazi kitambo sana!
Na kazi ya kukagua magari ilipewa Police,na vimejengwa vituo kwenye mikoa yote.

Utaratibu uko hivi:
Kuingiza gari for the first time ni 20,000 gari dogo.
40,000 magari makubwa (ya mizigo)
Magari anayofanya biashara mfano(taxi)Pass ni miezi 6.
Magari binfusi(private)pass ni 1 year.
Maombi yanafanyika online unapewa appointment day and time.
Malipo ni online yote kupitia kwenye Website ya Serikali , mawakala walipewa User names na unapewa nakala utakayo endanayo siku ya ukaguzi .
Siku ya kupeleka gari:
Nakala ya malipo
Nakala ya leseni
Nakalaya kadi ya gari.

Nà ukirudishwa au baada ya ukaguzi unapewa report inayo onyesha nikitu gani unaenda kurekebisha kwenye gari lako.
Gari iki pass unapewa pass sticker iliotengenezwa kitalaam na inabandikwa kwenya gari.

Marudio: ukienda kulekebisha unaomba tena kupitia palepale na malipo yake yanakua elfu 4000 kwa magari madogo,
Makubwa 8000.

Kupambana na Rushwa:
Askali wote wanao operate hizo machine wame pachikwa camera ndogo means hana maongezi na wewe kuhusu nini ufanye na nini usifanye,unaandikiwa kwenye report ndio unaenda nayo garage.

Malipo yote kuhusu ukaguzi kwenda RRA(au TRRA ya kule).
 
Attachments

  • iki_kigo_cyatashywe_mu_karere_ka_musanze_gifite_ubushobozi_bwo_kwakira_imodoka_200_ku_munsi-34...jpg
    iki_kigo_cyatashywe_mu_karere_ka_musanze_gifite_ubushobozi_bwo_kwakira_imodoka_200_ku_munsi-34...jpg
    60.3 KB · Views: 5
  • d858a271362d79b6d13fde4009682600.jpg
    d858a271362d79b6d13fde4009682600.jpg
    38.1 KB · Views: 4
  • arton5039.jpg
    arton5039.jpg
    23.7 KB · Views: 5
  • quel-prix-nouveau-ct.jpg__872x584_q85_subsampling-2.jpg
    quel-prix-nouveau-ct.jpg__872x584_q85_subsampling-2.jpg
    62.5 KB · Views: 5
  • hagenzurwa_ubuziranenge_bw_imodoka_nini_n_intoya.jpg
    hagenzurwa_ubuziranenge_bw_imodoka_nini_n_intoya.jpg
    44.9 KB · Views: 5
  • imashini_zifasha_kugenzura_ubuziranenge_bw_imodoka-2edfb.jpg
    imashini_zifasha_kugenzura_ubuziranenge_bw_imodoka-2edfb.jpg
    47.5 KB · Views: 4
  • img_0054-6-84965.jpg
    img_0054-6-84965.jpg
    33.8 KB · Views: 4
  • ikigo_cyatashywe_cyatangiye_kwakira_imodoka_mu_karere_ka_huye-0f905.jpg
    ikigo_cyatashywe_cyatangiye_kwakira_imodoka_mu_karere_ka_huye-0f905.jpg
    58.5 KB · Views: 4
  • img_0177-3-e384d.jpg
    img_0177-3-e384d.jpg
    37.7 KB · Views: 4
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linawataarifu waagizaji na wauzaji wa magari kutoka nje ya nchi kuwa kuanzia tarehe 01 mwezi Machi, 2021, utaratibu wa kukagua magarikutoka nje ya nchi utafanyika baada ya kuwasili hapa nchini (Destination Inspection). Hivyo,magari yote yatakayosafirishwa kuanzia tarehe tajwa hapo juu yatakaguliwa katika bandari yaDar-es-Salaam.

Kwa sasa TBS inakagua magari kutoka nje ya nchi kupitia mawakala watatu(3) kutoka Japan na mmoja(1) kutoka Dubai ambao mikataba yao itakoma hivi karibuni.

Hivyo vyeti vya ukaguzi vitakavyotolewa na mawakala tajwa kwa magari yatakayosafirishwa kuanzia tarehe 01 mwezi Machi, 2021 havitatambulika na TBS.

Aidha,magari yatakayopimwa bandarini na kutokidhi matakwa ya kiwango yatahitaji kufanyiwa matengenezo nje ya bandari na kisha kuletwa na kupimwa tena kwenye yadi ya UDA mkabala na Bandari ya Dar es salaam.

Shirika litaendelea kuhakikisha kuwa magari yote yaliyotumika nakuingizwa nchini yanakidhi matakwa ya kiwango cha magari yaliyotumika.

Kwa taarifa zaidi kuhusu utaratibu huu mpyausisite kuwasiliana na:-

Mkurugenzi Mkuu,

Shirika la Viwango Tanzania (TBS),

SLP 9524,

Dar es Salaam.

View attachment 1682017
Mmejipanga vipi kuhusu kudhibiti rushwa?
 
Sema itasababisha msongamano mkubwa na hivyo kuchelewesha clearance ya magari
Sio hivyo tu, kutakuwa na ukiritimba , rushwa na wizi wa vifaa vya magari.
Ninachoshindwa kuelewa, je hawa waliotoa huu uamuzi sasa hivi, walifanya utafiti kwanini wenzao waliamua hivyo? Wao wamerekebisha nini kuepukana na hizo challenge. Au mradi tu umechaguliwa unabadiri badiri taratibu ili boss wako akuone unafanya jambo la kizalendo bila kuwa na research.
Mwisho wa siku watarudi kulele pamoja na kutumbuliwa... mark my words.
 
Kaka kutakuwa na usumbufu mkubwa sana
 
Aidha,magari yatakayopimwa bandarini na kutokidhi matakwa ya kiwango yatahitaji kufanyiwa matengenezo nje ya bandari na kisha kuletwa na kupimwa tena kwenye yadi ya UDA mkabala na Bandari ya Dar es salaam.
Naombeni kazi kwenye kitengo hiki, mimi ni proffessional Auto electric engeneer
 
Hii nchi ukitutazama tilivyo serious unaweza kufikiri ni watu kweli.....!
 
Back
Top Bottom