TBS: Mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage kutoka Marekani, ni Salama kwa Walaji

Swala sio usalama,kwani Tanzania tuna njaa Hadi tupewe Msaada? Hoja ni kuidhalilisha Nchi.

Pia Waziri amesema waje wanunue mazao yetu.Mwisho angekuwa Mwendazake angestamtimua Mkurugenzi wa TBS
We kichwa mbovu sana, nani anayefadhili miradi mikubwa ya afya hapa nchini? Maabara za kisasa kwenye bahadhi ya hospitali zimejengwa kwa ufadhili wa nani? Miradi mikubwa ya kuthibiti malaria, Kifua kikuu, Minyoo HIV/AIDS, nk inafadhiliwa na nani? Miradi ya kilimo, lishe, maji nk, inafadhiliwa na nani.
Mlishaamua kutuingiza kwenye umaskini tulieni wanaume wawalishe, Bashe naye chenga nyingi tu.
 
Bashe tapeli
 
Swala sio usalama,kwani Tanzania tuna njaa Hadi tupewe Msaada? Hoja ni kuidhalilisha Nchi.

Pia Waziri amesema waje wanunue mazao yetu.Mwisho angekuwa Mwendazake angestamtimua Mkurugenzi wa TBS
Wajinga wajinga kama nyinyi ndo mnatufikisha hapa chawacracy
 
Bashe tapeli
Ni janja janja sana, wameenda kuteketeza mabilioni kwenye mradi wa kipumbavu wa BBT, anabaki maneno mengi bila mikakati. Na tuliwaambia hiyo approach ni ya kipumbavu, sasa BBT inakufa kifo cha mende na mabilioni yanakwenda kupotea bure bure tu.
 
Kwahiyo Bashe inabidi ajiuzulu au Mama amtumbue kwasababu hajui kinachoendelea kwenye wizara yake,lakini kwa Tz hilo litapita tu kama mengine......
 
Bado dawa za HIV
 
Ni janja janja sana, wameenda kuteketeza mabilioni kwenye mradi wa kipumbavu wa BBT, anabaki maneno meni bila mikakati. Na tuliwaambia hiyo approach ni ya kipumbavu, sasa BBT inakufa kifo cha mende na mabilioni yanakwenda kupotea bure bure tu.
Huu mradi toka nisikie watawapa kipaumbele wanafunzi waliomalia SUA ili wakapate mafunzo sina imani nao hata kidogo, kama mwanafunzi wa chuo vha kilimo hana mafunzo sisi wakulima wa kushika panga itakuaje
 
Mlaumu aliteenda kutembeza bakuli huko


tajiri huwa hapangiwi akupaje msaada.
Nakazia sisi tuendelee kuwauliza viongozi wetu tu, na janja janja za bashe zipo ukiongoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…