TBS: Mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage kutoka Marekani, ni Salama kwa Walaji

TBS: Mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage kutoka Marekani, ni Salama kwa Walaji

Ila ARV, chanjo, na madawa mengine je? Hivi nyie mko timamu?
wewe unatumia mchele wenye virutubisho wakuchanganyie na broiler chicks mimi sili wala sitaki wanangu waguse, sijawahi choma chanjo yoyote nikiwa na akili timamu kuanzia za mabusha na Hepatitisi B, wala korona namkumbuka magufuli namshukuru sana, chanjo ni biashara za wabinafsi wa dunia hii. chakula chenye virutubisho havifai hata kwa wanyama wa kufugwa umeuza wapi akili zako.
 
Hizo Misaada hapo hatuna ila msosi tunao.

Angekuwa Magufuli angeshamtimua huyo Mkuu wa TBS.
Kwa hiyo hatuoni fedheha kusaidiwa kujengewa mashimo ya vyoo, na tunajivunia kusaidiwa mipira ya kujamiiana (Condoms)?
Huu ni uwendawazimu wa kiwango cha SGR.
 
wewe unatumia mchele wenye virutubisho wakuchanganyie na broiler chicks mimi sili wala sitaki wanangu waguse, sijawahi choma chanjo yoyote nikiwa na akili timamu kuanzia za mabusha na Hepatitisi B, wala korona namkumbuka magufuli namshukuru sana, chanjo ni biashara za wabinafsi wa dunia hii. chakula chenye virutubisho havifai hata kwa wanyama wa kufugwa umeuza wapi akili zako.
Wewe unatumia mchele gani?
Kama ni mchele huu wa Morogoro, Mbeya, Kahama, Manyara hapo utakuwa hujakwepa kitu.
Mbegu zote za hiyo michele zimeboreshwa kimaabara (zimeturubishwa na hao hao wazungu), mbolea iliyotumika ni mbolea ya kizungu, na utiriri wa madawa umetumika kuzikuza shambani.
 
Elewa mchele na maharage vimeongezwa virutubisho kwa ajili ya kula, hatuzungumzii mbegu hapa, ni lini mchele wa kyela na maharage ya sumbawanga yaliongezwa virutubisho huko huko USA watu wanatamani kula vitu organic wenye nazo wanakula vitu organic, sisi tz hakuna hata sababu moja yakushindwa kula vitu organic viongozi wetu na abiria wao kama wewe mnatufedhehesha watanzania.
 
Wamesha lamba asali bila shaka, mbona kauli zao zinakinzana na za Bashe?
Yaani Bashe kasema wangenunua hapa hapa ili kuleta fedha ndani ya nchi kwa sababu tuna mchele mwingi lakini wao naona wanataka kutuletea walakini
 
Misaada mingapi ya kilofa mnaipokea huo ubwabwa ndiyo iwe nongwa?

Si muwalishe sasa wenyewe kama mna huo ubavu badala ya kupangia watu mahali wanunue huo msaada wao.
 
Back
Top Bottom